Inaniuma Sana
Fresh Jumbe
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Hey! Uchumi tunao lakini tunaukalia tunaishia kuwa omba omba Inaniuma sana kila kukicha tunapiga kelele oh eti sisi ni masikini Lakini umasikini wetu ni wa kujitakia hakuna la maana tunalofanya kwa nchi yetu Tunakosa uongozi tu tunaweza kuwa Dubai ya Afrika ah Inaniuma sana kila kukicha tunapiga kelele oh sisi ni masikini Na umasikini wetu ni wa kujitakia hakuna la maana tunalofanya kwa nchi yetu Sisi si masikini sisi ni matajiri wa mali asili amini usiamini Kinachotutatiza ni uvivu wa fikra na ubinafsi amini usiamini Kila kitu siasa tamaa na ubinafsi ufisadi J P Sensey sema Mnatutia aibu aibu No! Nchi ndogo kama vile ya wajapanese hawana rasilimali yoyote ya asili Rasilimali zao ni watu wao na juhudi zao na uongozi bora Rasilimali zetu zinawanufaisha watu wachache tu walio na nguvu zao Halafu ni hao hao wanakwenda huku na kule kuomba omba omba oh saidia masikini Tunajidhalilisha tunajiaibisha tunajidharaulisha duniani kote tunakosa thamani Tunadharauliwa yah yah iih! Tunajifedhehesha tunajitukanisha tunajinyanyasisha wenyewe lazima tubadilike WaAfrika waTanzania waAfrika ya mashariki wakati umefika nguvu kwa wananchi Ah! Hatuna haki tena hatuna kauli tena hatuna msimamo tena ila tusikate tamaa Hatuna imani tena hatufuati maadili tena imekuwa pangu pakavu nitilie mchuzi nile nijiondokee Tunajidhalilisha tunajiaibisha tunajidharaulisha duniani kote tunakosa thamani Tunajifedhehesha tunajitukanisha tunajinyanyasisha wenyewe lazima tubadilike Tulisema na kusemaga ubepari ni unyama sasa tutasemaje ufisadi nao ni nini Tulinyang'anywa nchi yetu na wakoloni lakini leo nchi yetu tunaiuza wenyewe Hatuna haki tena hatuna kauli tena hatuna msimamo tena lakini tusikate tamaa Kilimanjaro tunayo Serengeti ipo madini yametapakaa na amani bado ipo Sisi si masikini sisi ni matajiri wa mali asili amini usiamini - Leoh Kinachotutatiza - Tuko ovyo ovyo - ni uvivu wa fikra na ubinafsi amini usiamini - Leoh Sisi si masikini - No no no - sisi ni matajiri wa mali asili amini usiamini Kinachotutatiza ni uvivu wa fikra na ubinafsi amini usiamini Madhabu kibbao, Alimasi kibbao, Tanzanite, Mbuga za wanyama, gesi na mafuta, makaa ya mawe No no no!
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Inaniuma Sana Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 8 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/3596259/Fresh+Jumbe/Inaniuma+Sana>.
Discuss the Inaniuma Sana Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In