Inaniuma Sana

Fresh Jumbe

0 fans

Fresh Jumbe


5:02
46 
#1

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Hey! Uchumi tunao lakini tunaukalia tunaishia kuwa omba omba

Inaniuma sana kila kukicha tunapiga kelele oh eti sisi ni masikini
Lakini umasikini wetu ni wa kujitakia hakuna la maana tunalofanya kwa nchi yetu

Tunakosa uongozi tu tunaweza kuwa Dubai ya Afrika ah

Inaniuma sana kila kukicha tunapiga kelele oh sisi ni masikini
Na umasikini wetu ni wa kujitakia hakuna la maana tunalofanya kwa nchi yetu

Sisi si masikini sisi ni matajiri wa mali asili amini usiamini
Kinachotutatiza ni uvivu wa fikra na ubinafsi amini usiamini

Kila kitu siasa tamaa na ubinafsi ufisadi
J P Sensey sema Mnatutia aibu aibu No!

Nchi ndogo kama vile ya wajapanese hawana rasilimali yoyote ya asili
Rasilimali zao ni watu wao na juhudi zao na uongozi bora
Rasilimali zetu zinawanufaisha watu wachache tu walio na nguvu zao
Halafu ni hao hao wanakwenda huku na kule kuomba omba omba oh saidia masikini

Tunajidhalilisha tunajiaibisha tunajidharaulisha duniani kote tunakosa thamani 
Tunadharauliwa yah yah iih!
Tunajifedhehesha tunajitukanisha tunajinyanyasisha wenyewe lazima tubadilike

WaAfrika waTanzania waAfrika ya mashariki wakati umefika nguvu kwa wananchi Ah!

Hatuna haki tena hatuna kauli tena hatuna msimamo tena ila tusikate tamaa
Hatuna imani tena hatufuati maadili tena imekuwa pangu pakavu nitilie mchuzi nile nijiondokee

Tunajidhalilisha tunajiaibisha tunajidharaulisha duniani kote tunakosa thamani
Tunajifedhehesha tunajitukanisha tunajinyanyasisha wenyewe lazima tubadilike

Tulisema na kusemaga ubepari ni unyama sasa tutasemaje ufisadi nao ni nini
Tulinyang'anywa nchi yetu na wakoloni lakini leo nchi yetu tunaiuza wenyewe

Hatuna haki tena hatuna kauli tena hatuna msimamo tena lakini tusikate tamaa
Kilimanjaro tunayo Serengeti ipo madini yametapakaa na amani bado ipo
Sisi si masikini sisi ni matajiri wa mali asili amini usiamini - Leoh
Kinachotutatiza - Tuko ovyo ovyo - ni uvivu wa fikra na ubinafsi amini usiamini - Leoh
Sisi si masikini - No no no - sisi ni matajiri wa mali asili amini usiamini
Kinachotutatiza ni uvivu wa fikra na ubinafsi amini usiamini

Madhabu kibbao, Alimasi kibbao, Tanzanite, Mbuga za wanyama, gesi na mafuta, makaa ya mawe
No no no!

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Fresh Mkuu

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Inaniuma Sana Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Inaniuma Sana Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 17 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/3596259/Fresh+Jumbe/Inaniuma+Sana>.

    Missing lyrics by Fresh Jumbe?

    Know any other songs by Fresh Jumbe? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Inaniuma Sana

    8,272
    12     2

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "Is this love...? That I'm..." (complete the missing lyrics)
    A Believing
    B Dreaming
    C Leaving
    D Feeling

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Fresh Jumbe tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!