Lyrics.com »

Search results for 'msaada'

Yee yee! We've found 103 lyrics matching msaada.

Year:


Filter by gender:

Lyrics:

Nitayainua macho yangu nitazame milima aah
Msaada wangu baba utatoka wapiii?
Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee
Asiuache mguu wako
ulaaniwe  kwa kumtegemea mwanadamu
Ndugu yangu kwanii ulaaniwe  kwa kumtegemea mwanadamu

Kijana mwenzangu kwanini ulaaniwe ,kwa kumtegemea mwanadamu
Msaada
hutaniacha
Sababu mimi ni mboni ya jicho lako
Oooh oh oh...
Wewe tu nguvu yangu, wewe tu furaha yangu
Wewe tu nguvu yangu, wewe tu furaha yangu
Msaada wa
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu

Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu

EBENEZER
Ewe Bwana wa mabwana
Ndiwe tumaini letu 
Katika safari yetu
Kwenye njia ya injili
Dhoruba yajapo vuma
Wewe kimbilio letu
Msaada wa karibu
Katika
Msaada msaada wako nautaka

Nisaidie yei yei yeiye
Kukupenda
Nisaidie yei yei yeiye
Kukupenda
Ooh no ooh

Nachojua
Wanijua
Mbaka vya ndani
Ata kama
Nimeelewa wewe mtetezi wangu
Kimbilio langu, mnennaji wangu
Msaada uonekanao wakati wote eeh
Sehemu zote
Hujawahi kamwe kuniacha aah, kunitenga eeh
ni kiboko yao.
Yesu ni ushindi wangu,
Ndiye Mwamba wangu.
Kimbilio, msaada wa maisha yangu.
Ndani yake hasa ninaishi kwa amani.
Hakika Yesu namthamini.
-MUNGU Wetu Hapangiwi
     -eeeeh 
    -MUNGU Wetu huu
    -MUNGU Wetu Hasaidiwi
     -eeeeh
    -MUNGU Wetu huu 
   -Hajawahi kuomba msaada Wala
Alikufa kwa ajili yangu
Niokoke
Nilipozama dhambi
Bila msaada
Neema zako kwangu
Zikaniweka huru

Ni nani aliye mwemwa kwangu
Asimame badala yangu
never let me goo!
Life ikiwa harder
Hata bila msaada Muombe mungu baba We usichoke
Piga ibada Yeye ni msaada
Toa Toa Toa Sadaka
Toa Toa Toa
Ile zaka
Toa
niongoze niongoze njiya yako 
Timiza fadhili zako naitaji msaada
Mbele zangu ni mabonde Pande zote ni milima
Kimbiliyo langu ni wewe tu

Nasubiri vitendo vya
Hapa nilipo nimefika mwisho
Nimekwama sina msaada
Giza machozi, kuvunjika moyo
Naja kwako niguse pindo nipone

Hapa nilipo nimefika mwisho
Nimekwama
Alijitoa kwa ajili yangu Bwana
Akanifia msalabani msalabani
Bwana ni mchungaji wangu nimuogope nani
Bwana ndiye mlinzi wangu nimuhofu nani
Bwana ni msaada
Pekee Bwana ndiwe, pekee Bwana
Wewe, pekee Bwana kweli ndiwe
Pekee Bwana

Nainua macho yangu kwako Bwana
Usiye acha mguu wangu usogezwe
Msaada wangu
Nainuwa macho yangu
Natazama milimani
Msaada wangu watoka wapi
Msaada wangu Nikwako Bwana

Nakutegemea we, Nakutegemea we
Nakutegemea we, Nakutegemea
Kimbilio msaada wa karibu,
ni wewe ni wewe. ni wewe.

Nahitaji mkono wako
Niongozwe na wewe Bwana
Kimbilio msaada wa karibu,
ni wewe ni wewe. ni wewe.
yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la maisha yangu weee
(Nategemeya kwako)
Magoti ninapiga (Aaaaa) mikono ninainuwa (Aaa) 
Nangoja nangoja msaada kwakooo
nakuhitaji
Ni wewe tu nguvu zangu 
Ni wewe tu Msaada wangu 
Sitatoka, Natamani uwepo wako

Bwana natamani
Bwana natamani
Bwana natamani
Uwepo wako
Bwana
milimani
Msaada wangu watoka wapi,
ni wapi?
Ni Kwako
Ni Kwako

'Lipokuwa Na shida, Mimi nilikuita
'Kasikia wito, Baba ulinijibu
Hata kama sifai, mbele zako
Kimbilio langu ni wewe
Nikeshe niki muomba nani
Msaada wangu ni wewe

Walitaka nipotee
Lakini uka simama na mimi
Walikesha kubeza mje
Mwenyewe ulinipa moyo
vita nyingi fanya hima kuni okoa 
Nainua macho yangu pa milima 
Msaada wangu utoke wapi 

*Kimbilio langu msaada wangu 
Tegemeo langu ni wewe Yesu 
Sito
Inawezekana umeona
Tumaini kwako halipo tena
Na inawezekana umeomba
Umeonda mbingu zimenyamaza kimya
Na umetafuta msaada
Hujaona pa kukimbilia
Ila
Nimekosa tumaini,nimekosa msaada,
Msaada wangu watoka wapi eh baba,
Kupitia kwa moto nimepitia mie,
Kama ni gharama,nimelipa mie,
Kupitia kwa moto nimepitia

Discuss these msaada Lyrics with the community:

0 Comments

    We need you!

    Help build the largest human-edited lyrics collection on the web!

    Search for song lyrics by

    Genres »

    Styles »

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    What was the most popular song of 1983?
    A Come On Eileen by Dexys Midnight Runners
    B Total Eclipse of the Heart by Bonnie Tyler
    C Billie Jean by Michael Jackson
    D Every Breath You Take by The Police

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!