Ni Yesu
Sara Nyongole
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Inawezekana umeona Tumaini kwako halipo tena Na inawezekana umeomba Umeonda mbingu zimenyamaza kimya Na umetafuta msaada Hujaona pa kukimbilia Ila yupo mwamba salama Simba wa Yuda Anasema njooni kwangu Nyote msumbukao na mizigo Anasema njooni kwangu Nyote msumbukao na kulemewa na mizigo Hufanya magumu kuwa rahisi Hufanya mazito kuwa mepesi Ni Yesu, Yesu Hufanya magumu kuwa rahisi Hufanya mazito kuwa mepesi Ni Yesu, Yesu Hufanya magumu kuwa rahisi Hufanya mazito kuwa mepesi Ni Yesu, Yesu Hufanya magumu kuwa rahisi Hufanya mazito kuwa mepesi Ni Yesu, Yesu Haijalishi muda gani umeomba Umetafuta bila msaada Yeye si kiziwi asisikie Si kipofu, anaona Anaelewa uwazavyo Anasikia uombayo Hachelewi wala hawahi Anaelewa uwazavyo Anasikia uombayo Hachelewi wala hawahi Huyu ni Mungu msikivu Ni Mungu mwaminifu Ni Mungu wa majira (Huyu ni Mungu) Mtoshelevu Hufanya magumu kuwa rahisi Hufanya mazito kuwa mepesi Ni Yesu, Yesu Hufanya magumu kuwa rahisi Hufanya mazito kuwa mepesi Ni Yesu, Yesu Hufanya magumu kuwa rahisi Hufanya mazito kuwa mepesi Ni Yesu, Yesu Hufanya magumu kuwa rahisi Hufanya mazito kuwa mepesi Ni Yesu, Yesu
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Ni Yesu Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 14 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/4701139/Sara+Nyongole/Ni+Yesu>.
Discuss the Ni Yesu Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In