Lyrics.com »

Search results for 'mateso'

Yee yee! We've found 146 lyrics matching mateso.

Year:


Filter by gender:

Lyrics:

Kila kitu kwako kitakua ni tabu
(Aya!) ukizaliwa mwanaume, (aah) we ujue (we ujue)
Kila kitu kwako kitakua ni tabu

Wanaume tumeubwa (aya!) mateso
utafurahi

Huu sio mwisho
Bali ni mwanzo wa mengi majuto na mateso
Yatokanayo na yake mapito
Ni mwanzo oh oh
Wa majuto oh oh
Na mateso oh oh
Ya mapito oh oh
mdogo wangu mapenzi basi
Ila nang'ang'ania
Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine

Ooh mbona sikomi
Sikomiii
Sikomi
Licha ya mateso haya
Najiuliza (oh
kesho
Napimia pimia leo usiku si mseso
Nasipendagi mateso
Napimia pimia mziki sawia sawia
Kawia kawia nitazivamia vamia
Kalia kalia nitazidandia dandia
tabia iwe kama utani
atani dhamini hato nipiga chini, nambie? x2

Bridge

Kila siku mateso mateso ya moyoni moyoni
Sina hata kicheko kicheko ni kilio
imagine
Na guna gu na guna guna

Cheki venye toto lilivyo jaza nyuma
Lina nipa ma mateso
Cheki venye limebeba beba nampatia
All my attention
Cheki venye
hakuna kuugua wala mateso
Humo hakuna kuugua wala mateso
Vilio vyote na vifo vitakua vimekoma
Vilio vyote na vifo vitakua vimekoma

Naye aketia katika kiti
kesho
Napimia pimia leo usiku si mseso
Nasipendagi mateso

Napimia pimia mziki sawia sawia
Kawia kawia nitazivamia vamia
Kalia kalia nitazidandia dandia
Mbona waninyima raha unanipa mateso
Uniite baby love niamshe kwa ndoto
Tule nyama kwa ndizi simama baby nikuinamie

Mi nawe de de de
Daily daily baby
Niwe
mambo yakee
Mwili uu tunaojivunia siku moja huta hozaa

Watu wengi wana furaiya mateso ya wengine
Mume hana furaiya mateso ya mke wakee

Mke hana furaiya
vumilia mateso

DENSA bend down
Usiogope cheza
Huku ukinesa nesa
Usiogope cheza

DENSA bend down
Usiogope cheza
Huku ukinesa nesa
Usiogope cheza

Every
yes Naamini
In every way anatembea na mimi
Everyday, Mateso mpaka lini
Burn! Mateso away
Mateso away
Burn!

(CHORUS)
It don't matter na de ting get
nitapumzika

Nitavikwa mavazi meupe, nitavikwa taji ya ushindi
Taabu zote na mateso yote, hakika vitakoma
Nitaungana na malaika, maserafi na makerubi
Tukiimba
mwenzenu
Leo mateso ni mengi hii mwenzenu

Naiona kesho yangu mwenzenu
Naiona kesho yangu mwenzenu

Japo vita yangu ni kubwa mwenzenu
Maadui wangu ni wengi
baba,
Kwa ajili ya wingi wa mateso yangu
Nafsi yangu imegandamana na mavumbi
Niokoe mikononi mwa midomo ya mbwa
Kwanini ninateswa sana kwa ajili yako
Baba, baba
Kikombe nimekinywea
Hukumu nimechukua
Mateso nimeyapokea
Maumivu nimevumilia

Kama ulivyosema mwenyewe
Hakika nimekinywea Oooh
Halleluyah
wewe tu nanitakutuza
Nitapolemewa na mizigo
magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti bwana
Gongo lako na fimbo yako vinanifariji
Zitatimia

Bwana kamwambia Musa,
Pamoja na wanaisraeli ,
Nimesikia kilio chenu,
Nimeyaona mateso yenu ,
Nimekumbuka agano langu,
Nimeshuka mimi mwenyewe,
Neno
Maji ya moto yamekua baridi,
Hakim nimekua shahida,
Nikijishusha mateso yanazidi,
Aloniliza ndo akunifariji,

Waache waoane
Waache waoane
Waache
mateso
Labda uniletee uchizi inside my heart
Beautiful wa mimi
I swear i will never  deceive you girl 
I Swear i never leave you girl
I love you for no
Leoooo Mungu ameniona ameniona
Leoooo Mungu ameniona ameniona


Jaza table gonga glass leo mambo yote mneso (amina)
Mungu amekata minyororo ya mateso
Malaika Wasujudu Mbele zako)x2

Bridge:
Wayaona Mateso Yangu 
Wayaona Machozi yangu Wayajua maombi yangu kwako
Wayajua Mapita Yangu Milima Na Mabonde Kwangu
leo mambo yote mneso (amina)
Mungu amekata minyororo ya mateso (amina)
Mvua jua vilitupiga na hatukua na leso (amina)
Ila tuliishi kwa imani tukiamini
Nafsi inakutakata you're special
Nimenata kwako, kipenda roho
Aki usinipe mateso 
Stick by me! Stick by me

Nafsi inakutakata you're special
Nimenata

Discuss these mateso Lyrics with the community:

0 Comments

    We need you!

    Help build the largest human-edited lyrics collection on the web!

    Search for song lyrics by

    Genres »

    Styles »

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    In what year did Elvis Presley die?
    A 1978
    B 1977
    C 1975
    D 1976

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!