Densa

Dramaboi

0 fans

Dramaboi

Dramaboi is a musical artist known for his contribution to the hip-hop and kwaito genres in Botswana. He rose to fame with his catchy beats, energetic performances, and lyrics that often reflect social and cultural issues. With his unique style and distinct voice, Dramaboi has become a popular figure in the Batswana music scene. more »


3:35
#1

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Girl njo hapa kwa simba loketo (DENSA)
Nikupandishe ndege ya kwenda soweto (DENSA)
Siunataka kwenda kupunga upepo (DENSA)
Maisha yamekuwa tight vumilia mateso

DENSA bend down
Usiogope cheza
Huku ukinesa nesa
Usiogope cheza

DENSA bend down
Usiogope cheza
Huku ukinesa nesa
Usiogope cheza

Every morning
I'll give you some ting
Ukilamba cone
My colony enhe

Every morning
I'll give you some ting
Ukilamba cone
Huku moyoni nakuwa high

We my baby
We my baby usiwe malaya
Maya mayango, haya maisha ndo namake eh

Hey my lady
Siunataka kwenda ulaya
We nikonge roho we nikonge roho kipenzi eh

Girl njo hapa kwa simba loketo (DENSA)
Nikupandishe ndege ya kwenda soweto (DENSA)
Siunataka kwenda kupunga upepo (DENSA)
Maisha yamekuwa tight vumilia mateso

DENSA bend down
Usiogope cheza
Huku ukinesa nesa
Usiogope cheza

DENSA bend down
Usiogope cheza
Huku ukinesa nesa
Usiogope cheza

Mi ndo mnyozi nikupige kipara (Mh mh mmh)
Nikupige solo kama diblo debala (Mh mh mmh)
Kama ukijaniacha utanipa msala (Mh mh mmh)
Nipe vyote tu kabla sijalala (Mh mh mmh)

We my baby
We my baby usiwe malaya
Maya mayangoo haya maisha ndo namake eh

Hey my lady
Siunataka kwenda ulaya
We nikonge roho we nikonge roho kipenzi eh

Girl njo hapa kwa simba loketo (DENSA)
Nikupandishe ndege ya kwenda soweto (DENSA)
Siunataka kwenda kupunga upepo (DENSA)
Maisha yamekuwa tight vumilia mateso

DENSA bend down
Usiogope cheza
Huku ukinesa nesa
Usiogope cheza

DENSA bend down
Usiogope cheza
Huku ukinesa nesa
Usiogope cheza

 Struggling with Densa? Become a better singer in 30 days with these videos!

Written by: amiry Mnasi

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Densa Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Densa Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 4 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/5554765/Dramaboi/Densa>.

    Missing lyrics by Dramaboi?

    Know any other songs by Dramaboi? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Dennis DeYoung is more known as a member of which band?
    A Air Supply
    B Stryper
    C The Hollies
    D Styx

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Dramaboi tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!