Pipe Dreams (feat. Liboi, Murathe Ngigi & Kikete FM)
Dorphanage
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Ni katikati ya night But na-come light ka mtoi ameugua marasmus Niko kati hawa wajanja wanajificha bullet na face mask Life is good na inhaler ka ugonjwa ni asthma Life is good kwa sofa ka screen ni plasma High resolutions kuhitimu Ingawa ndoto ziko limited na pass mark Failure iko scary zaidi ya kifo Juma Nature aliimba "Hakuna kulala!" Ikabidi tumeuza vitanda na beddings Kutoka humble beginnings to sad stories Na matumaini ya cliche endings Since happiness iko reserved for ever after Most likely ni afterlife So kumbuka kuhesabu baraka Yako ikigeuka kuwa beginning to another chapter Nazunguka mzunguko Mwanzo hauna mwisho Mwisho hauna mwanzo Kutembea kujipoteza Nikifuata ndoto oooh! Natembea kwa duara, duara Rich! Naandika poetry Sound pitch Ni back-up ya poverty Kuna sauti mingi Lakini kelele mingi ni za shida zangu Kwangu natafuta silence Under inspiration ya violence Nimekuwa passive aggressive ju ya life suggestive I have to seek a better pathway on my journey to Karen My location inafanya ni-define life kama ni apparent ni barren Wanasema adulting is a scam Mimi kama mwana kondoo nimeshakuwa ram Niko hapa kwa keja yangu Sanaa imejaa uchungu na-cram Nikiwa mtoi everything was possible Sahii hata matters faith ni complicated Naona nifuate Buddha ama Islam Akili yangu inapiga vitu mingi ju maisha yangu Kichwa yangu inapigana vita mingi Kwa brain yangu kuna chemical imbalance Ju hii life ni complicated sioni ni kama niko na chance Ata nikiwa rapper Mziki yangu iko qualified kuwa thesis paper Lakini life haifanyi nipige looku Kama venye ma-barbie husema "looking dapper" Ju ule msee ali-pay the piper Ali-call tune ya stress na depression Sahii siwezi ficha paraa ata nivae ngepa Nazunguka mzunguko Mwanzo hauna mwisho Mwisho hauna mwanzo Kutembea kujipoteza Nikifuata ndoto oooh! Natembea kwa duara, duara Kwa hizi finishing lines Na-run tena the first miles Hii ni ya zaidi ya jukwaa ama papers Hata kama chooni bado tunahitaji tissues Ma-PE za issues kwa hii EP Zinaguza akili na emotions Juu utachoraje kamusi Ya maana fiche Dunia mduara wa raga bana Ikidunda inakuhepa Karata ya lipa nikupe Inachezwa kanisani Piece of your soul for that celebrity Ndani ya tints na make-up Kuficha black eye reality Hawker ana-keep-iwa fit na kanjo Big fish akienda roadi ngware Ni kudai kukata kitambi Drive-throughs za KFCs Convenience ya middle-classes Ku-raise watoi na ma devises Getting home late from jobs they hate Ni sawa basi Kama mkunywaji makali Atahubiri maji Basi traffic lights ni utiaji Yolo ndio ujuaji Mkono ikibadilisha gears Inapapasa lanes za mali safi Subaru ikichapa roundabouts Inafungua the new chapters
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Written by: Dennis Mutua, Fred Kikete, James Ngigi, Sharon Liboi
Lyrics © DistroKid
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Pipe Dreams (feat. Liboi, Murathe Ngigi & Kikete FM) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 11 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/6836525/Dorphanage/Pipe+Dreams+%28feat.+Liboi%2C+Murathe+Ngigi+%26+Kikete+FM%29>.
Discuss the Pipe Dreams (feat. Liboi, Murathe Ngigi & Kikete FM) Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In