Pipe Dreams (feat. Liboi, Murathe Ngigi & Kikete FM)

Dorphanage

0 fans

Dorphanage


4:17
#1

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Ni katikati ya night
But na-come light ka mtoi ameugua marasmus
Niko kati hawa wajanja wanajificha bullet na face mask
Life is good na inhaler ka ugonjwa ni asthma
Life is good kwa sofa ka screen ni plasma
High resolutions kuhitimu
Ingawa ndoto ziko limited na pass mark
Failure iko scary zaidi ya kifo
Juma Nature aliimba "Hakuna kulala!"
Ikabidi tumeuza vitanda na beddings
Kutoka humble beginnings to sad stories
Na matumaini ya cliche endings
Since happiness iko reserved for ever after
Most likely ni afterlife
So kumbuka kuhesabu baraka
Yako ikigeuka kuwa beginning to another chapter

Nazunguka mzunguko
Mwanzo hauna mwisho
Mwisho hauna mwanzo
Kutembea kujipoteza
Nikifuata ndoto oooh!
Natembea kwa duara, duara

Rich!
Naandika poetry
Sound pitch
Ni back-up ya poverty
Kuna sauti mingi
Lakini kelele mingi ni za shida zangu
Kwangu natafuta silence
Under inspiration ya violence
Nimekuwa passive aggressive ju ya life suggestive
I have to seek a better pathway on my journey to Karen
My location inafanya ni-define life kama ni apparent ni barren
Wanasema adulting is a scam
Mimi kama mwana kondoo nimeshakuwa ram
Niko hapa kwa keja yangu
Sanaa imejaa uchungu na-cram
Nikiwa mtoi everything was possible
Sahii hata matters faith ni complicated
Naona nifuate Buddha ama Islam
Akili yangu inapiga vitu mingi ju maisha yangu
Kichwa yangu inapigana vita mingi
Kwa brain yangu kuna chemical imbalance
Ju hii life ni complicated sioni ni kama niko na chance
Ata nikiwa rapper
Mziki yangu iko qualified kuwa thesis paper
Lakini life haifanyi nipige looku
Kama venye ma-barbie husema "looking dapper"
Ju ule msee ali-pay the piper
Ali-call tune ya stress na depression
Sahii siwezi ficha paraa ata nivae ngepa

Nazunguka mzunguko
Mwanzo hauna mwisho
Mwisho hauna mwanzo
Kutembea kujipoteza
Nikifuata ndoto oooh!
Natembea kwa duara, duara

Kwa hizi finishing lines
Na-run tena the first miles
Hii ni ya zaidi ya jukwaa ama papers
Hata kama chooni bado tunahitaji tissues
Ma-PE za issues kwa hii EP
Zinaguza akili na emotions
Juu utachoraje kamusi
Ya maana fiche
Dunia mduara wa raga bana
Ikidunda inakuhepa
Karata ya lipa nikupe
Inachezwa kanisani
Piece of your soul for that celebrity
Ndani ya tints na make-up
Kuficha black eye reality
Hawker ana-keep-iwa fit na kanjo
Big fish akienda roadi ngware
Ni kudai kukata kitambi
Drive-throughs za KFCs
Convenience ya middle-classes
Ku-raise watoi na ma devises
Getting home late from jobs they hate
Ni sawa basi
Kama mkunywaji makali
Atahubiri maji
Basi traffic lights ni utiaji
Yolo ndio ujuaji
Mkono ikibadilisha gears
Inapapasa lanes za mali safi
Subaru ikichapa roundabouts
Inafungua the new chapters

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Written by: Dennis Mutua, Fred Kikete, James Ngigi, Sharon Liboi

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Pipe Dreams (feat. Liboi, Murathe Ngigi & Kikete FM) Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Pipe Dreams (feat. Liboi, Murathe Ngigi & Kikete FM) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 28 Apr. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/6836525/Dorphanage/Pipe+Dreams+%28feat.+Liboi%2C+Murathe+Ngigi+%26+Kikete+FM%29>.

    Missing lyrics by Dorphanage?

    Know any other songs by Dorphanage? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    What song was Christopher Cross famous for?
    A Beautiful Women
    B She's the one
    C Sailing
    D Long Way Home

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Dorphanage tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!