Sifa
Fresh Jumbe
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Heshima ya mtu ni utu wake Si mali, pesa wala umaarufu wake Maneno ya busara Sifa ngoja usifiwe usijisifu mwenyewe ni noma hiyo ni noma Hey acha mambo ya kujifagilia wewe mwenyewe Duniani tunaishi kwa kutegemeana Ufe nikuzike Nife unizike acha hizo Sifa ngoja usifiwe usijisifu mwenyewe ni noma hiyo ni noma Unajifaraguwa unajisifia unajigamba na kujipamba pamba ovyo Kujifagilia mwenyewe acha hizo wewe Sifa ngoja usifiwe usijisifu mwenyewe ni noma hiyo ni noma Kitu kibaya ni kibaya tu hata iweje ni kibaya tu Na kitu kizuri ni kizuri tu machoni mwa watu kinapendeza Sifa ngoja usifiwe usijisifu mwenyewe ni noma hiyo ni noma Hey Benadict waambie waambie waache ush.... Acha watu waone na wakusifie wenyewe ah! Wacha unh! Ukipenda sana sifa utakuwa na mdomo ukipenda sana sifa utaropoka ropoka Sifa zilifanya mdomo ukasema ovyo mdomo ukaponza kichwa kikapigwa bila sababu Walikuwepo wazuri wakusifiwa walikuwepo wenye mabavu ya kutishia Jiulize wako wapi leo wameishia tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo tu Majivuno hayafai ndugu yangu wewe elewa wewe ni kiumbe kama wengine Na binadamu tunaishi kwa kutegemeana kumbuka kinyozi hajinyoi mwenyewe Walikuwepo wazuri wakusifiwa walikuwepo wenye mabavu ya kutishia Jiulize wako wapi leo wameishia tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo tu Sifa hailazimishwi Sifa watu wanakusifu baada ya kuona sifa zako Acha! Sifa zilisababisha mdomo ukasema ovyo mdomo ukaropoka ropoka ooh Mdomo ukaponza kichwa kichwa kikapigwa bila sababu yoyote chunga hiyo Sifa ngoja usifiwe usijisifu mwenyewe ni noma hiyo ni noma Unapenda sifa Weeeh! Utaumia we maringo na majivuno yatakuponza we we we Uliza waliotangulia wako wapi leo walitaka sifa wakapata aibu Ukiwa na maringo yatakutokea puani Ukipiga kifua mbele mgongo utarudi nyuma eeh Walikuwepo wazuri wakusifiwa walikuwepo wenye mabavu ya kutishia Jiulize wako wapi leo wameishia tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo tu Ukipenda sana sifa utakuwa na mdomo ukipenda sana sifa utaropoka ropoka Sifa zilifanya mdomo ukasema ovyo mdomo ukaponza kichwa kikapigwa bila sababu Walikuwepo wazuri wakusifiwa walikuwepo wenye mabavu ya kutishia Jiulize wako wapi leo wameishia tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo tu Sifa ngoja usifiwe usijisifu mwenyewe ni noma hiyo ni noma
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Sifa Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 20 Sep. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/3596258/Fresh+Jumbe/Sifa>.
Discuss the Sifa Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
Accept answer
Offer Reward & Get Noticed
You need to be logged in to favorite.
Log In