Sifa

Fresh Jumbe

0 fans

Fresh Jumbe

5:28
13 
#1

 Struggling with Sifa? Become a better singer in 30 days with these videos!

Heshima ya mtu ni utu wake
Si mali, pesa wala umaarufu wake
Maneno ya busara

Sifa ngoja usifiwe usijisifu mwenyewe ni noma hiyo ni noma

Hey acha mambo ya kujifagilia wewe mwenyewe
Duniani tunaishi kwa kutegemeana
Ufe nikuzike Nife unizike acha hizo

Sifa ngoja usifiwe usijisifu mwenyewe ni noma hiyo ni noma

Unajifaraguwa unajisifia unajigamba na kujipamba pamba ovyo
Kujifagilia mwenyewe acha hizo wewe

Sifa ngoja usifiwe usijisifu mwenyewe ni noma hiyo ni noma

Kitu kibaya ni kibaya tu hata iweje ni kibaya tu
Na kitu kizuri ni kizuri tu machoni mwa watu kinapendeza

Sifa ngoja usifiwe usijisifu mwenyewe ni noma hiyo ni noma

Hey Benadict waambie waambie waache ush....
Acha watu waone na wakusifie wenyewe ah!

Wacha unh!

Ukipenda sana sifa utakuwa na mdomo ukipenda sana sifa utaropoka ropoka
Sifa zilifanya mdomo ukasema ovyo mdomo ukaponza kichwa kikapigwa bila sababu

Walikuwepo wazuri wakusifiwa walikuwepo wenye mabavu ya kutishia
Jiulize wako wapi leo wameishia tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo tu

Majivuno hayafai ndugu yangu wewe elewa wewe ni kiumbe kama wengine
Na binadamu tunaishi kwa kutegemeana kumbuka kinyozi hajinyoi mwenyewe

Walikuwepo wazuri wakusifiwa walikuwepo wenye mabavu ya kutishia
Jiulize wako wapi leo wameishia tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo tu

Sifa hailazimishwi Sifa watu wanakusifu baada ya kuona sifa zako Acha!

Sifa zilisababisha mdomo ukasema ovyo mdomo ukaropoka ropoka ooh
Mdomo ukaponza kichwa kichwa kikapigwa bila sababu yoyote chunga hiyo

Sifa ngoja usifiwe usijisifu mwenyewe ni noma hiyo ni noma

Unapenda sifa
Weeeh!
Utaumia we maringo na majivuno yatakuponza we we we
Uliza waliotangulia wako wapi leo walitaka sifa wakapata aibu

Ukiwa na maringo yatakutokea puani
Ukipiga kifua mbele mgongo utarudi nyuma eeh

Walikuwepo wazuri wakusifiwa walikuwepo wenye mabavu ya kutishia
Jiulize wako wapi leo wameishia tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo tu

Ukipenda sana sifa utakuwa na mdomo ukipenda sana sifa utaropoka ropoka
Sifa zilifanya mdomo ukasema ovyo mdomo ukaponza kichwa kikapigwa bila sababu

Walikuwepo wazuri wakusifiwa walikuwepo wenye mabavu ya kutishia
Jiulize wako wapi leo wameishia tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo tu

Sifa ngoja usifiwe usijisifu mwenyewe ni noma hiyo ni noma

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: Fresh Mkuu

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Sifa Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Sifa Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 22 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/3596258/Fresh+Jumbe/Sifa>.

    Missing lyrics by Fresh Jumbe?

    Know any other songs by Fresh Jumbe? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Sifa

    32
    1     0

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    What was David Bowie’s real surname?
    A Jermey
    B Jones
    C James
    D Julian

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Fresh Jumbe tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io

    Think you know music? Test your MusicIQ here!