Kata kata (feat. OnyAngO)

ChozenAfitra

0 fans

ChozenAfitra


2:20

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Woah
Me niko Karen Kwa local mahali
Sheesh
Me niko Karen Kwa local mahali (Kali)
Baze imefichwa ni baze ya wakati (Ndani)
Usiogope Kenye naweza kupea (Ndani)
Wakiuliza utasema ni story na kupa tunapotulia
Twende tukale nini wataka kupewa hadi huwezi ongea (Nini wadai)
Buzz ikishika naweza sinzia
Piga maombi ukiendelea (Wailai)
Kwanza jipate na nia
Chunga wengine wakija wanadai kupotea
Vile na washa (Vile na pata)
Wakija wanasema wanatakaa kukata (Vile anakataa)
Ni kama anapenda kukaa (Kataa)
Vipi mwana
Wa selena
Twende tukale
Watanena (Ah ah)
Watanena (Ah ah)
Watanena
Yele mama
Wa selena
Usijali mama
Watanena (Ah ah)
Watanena (Ah ah)
Watanena
Natoka Langata
Naingia Kilimani
Alafu narudi nyumbani
Plan Iko westie narudi kiasi nipick hiyo bag ya majani (Asali)
Vile na wapa hii vibes waba na shadda you know we not chasing
Where you at I'm about to leave nearly changing location
Kenye unadai utapewa sahi sahi (Kenye wadai)
Twende kwenye ndai tunawapa sahi sahi (Twende Kwa ndai)
Ukitaka twende pale nipee side eye (Kwenye unadai)
Kaa ni shot wataka labda useme sahi sahi (sahi sahi)
Vipi mwana
Wa selena
Twende tukale
Watanena
Kenye wadai
Twende kwa ndai
Watanena
Twende kwa ndai
Watanena
Yele mama
Wa selena
Usijali mama
Watanena (Ah yeah)
Watanena
Twende kwa ndai
Watanena
Sema Sahi
Woah woah
Woah
Woah

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Richard Muchogu

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Kata kata (feat. OnyAngO) Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Kata kata (feat. OnyAngO) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 16 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11654813/ChozenAfitra/Kata+kata+%28feat.+OnyAngO%29>.

    Missing lyrics by ChozenAfitra?

    Know any other songs by ChozenAfitra? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    What are Level 42's 1981 and 1985 biggest hit singles?
    A Something About You, Running in the Family
    B Love Games, Something About You
    C Love Games, Running in the Family
    D Love Games, Tracie

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    ChozenAfitra tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!