Kata kata (feat. OnyAngO)
ChozenAfitra
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Woah Me niko Karen Kwa local mahali Sheesh Me niko Karen Kwa local mahali (Kali) Baze imefichwa ni baze ya wakati (Ndani) Usiogope Kenye naweza kupea (Ndani) Wakiuliza utasema ni story na kupa tunapotulia Twende tukale nini wataka kupewa hadi huwezi ongea (Nini wadai) Buzz ikishika naweza sinzia Piga maombi ukiendelea (Wailai) Kwanza jipate na nia Chunga wengine wakija wanadai kupotea Vile na washa (Vile na pata) Wakija wanasema wanatakaa kukata (Vile anakataa) Ni kama anapenda kukaa (Kataa) Vipi mwana Wa selena Twende tukale Watanena (Ah ah) Watanena (Ah ah) Watanena Yele mama Wa selena Usijali mama Watanena (Ah ah) Watanena (Ah ah) Watanena Natoka Langata Naingia Kilimani Alafu narudi nyumbani Plan Iko westie narudi kiasi nipick hiyo bag ya majani (Asali) Vile na wapa hii vibes waba na shadda you know we not chasing Where you at I'm about to leave nearly changing location Kenye unadai utapewa sahi sahi (Kenye wadai) Twende kwenye ndai tunawapa sahi sahi (Twende Kwa ndai) Ukitaka twende pale nipee side eye (Kwenye unadai) Kaa ni shot wataka labda useme sahi sahi (sahi sahi) Vipi mwana Wa selena Twende tukale Watanena Kenye wadai Twende kwa ndai Watanena Twende kwa ndai Watanena Yele mama Wa selena Usijali mama Watanena (Ah yeah) Watanena Twende kwa ndai Watanena Sema Sahi Woah woah Woah Woah
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Kata kata (feat. OnyAngO) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 16 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11654813/ChozenAfitra/Kata+kata+%28feat.+OnyAngO%29>.
Discuss the Kata kata (feat. OnyAngO) Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In