Napanda
ChozenAfitra
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Dame Ako sawa Ahh Ahh Ni Mdosi Kaa ufungui mlango narudi (Ahh) Kaa ufungui mlango narudi Ukinipata na kataa Ukinipata na pata Chozen nakuja kuwasha Chozen nakuja kupata Chozen naona unataka kuwashwa Niko sawa ukinipata na washa Asha Dame Ako sawa hakosi Ni Mdosi Harogi Nikija na hodi Kaa ufungui mlango narudi Mmmh Hunioni na mbogi Nahala lakini Kwa njia nikama hatuwezi fuatana Nataka kushare lakini sahii nikama hatuwezi patana Ukipata nalaza Ulinipata Kwa Jua mwili nimetandaza Nilipata hiyo number Nilimpata kwenye njia nikamshika nkampata Yeah (Yeah) Vile nafanya nikupata hii Mali na kudance bila haya (Yeah) Vile nawaza lakini sahii niko sawa na panda Ukinipata na Ndugga napanda Ukinipata na Martin napanda Ukinipata na Nyago napanda Ukinipata pia na Mango napanda (Yeah) Aah Ukinipata na kataa Ukinipata na pata Chozen nakuja kuwasha Chozen nakuja kupata Chozen naona unataka kuwashwa Niko sawa ukinipata na washa Asha Vile na ringa na koti (Aah) Sikosi (Aah) Me mdosi (Vile undai Ai) Ukinipata na kataa Ama nipate Kwa kazi na pata (Bado na pata) Mmmh (Vile na Paa) Nipate na washa (Pata na pata na wai) Tembea na wawili safari naona tufike Naivasha (Ah Yeah) Siku tatu kwenye njia alafu turudi tufike Mombasa (Yeah) Vile wataka kama ni dishi wajua utapata (Ai Ai) Ukitaka kufika na chopper kuna Pilots me naweza kutaja (Taja) Soma vitabu uanze kupata mawazo napata (Yeah) Vile na songa nikama Mamangu alijua nitawaka (Aah) Ukinipata na Nga'nga napanda (Aah) Ukinipata na Cedi na panda (Yeah) Ukinipata na Shanja na panda (Aah) Ukinipata na Anita napanda yeah (Yeah) Aah Ukinipata na kataa Ukinipata na pata Chozen nakuja kuwasha Chozen nakuja kupata Chozen naona unataka kuwashwa Niko sawa ukinipata na washa Asha Dame ako sawa hakosi Ni Mdosi Harogi Nikija na hodi Kaa ufungui mlango narudi Mmmh Hunioni na mbogi Nahala lakini Kwa njia nikama hatuwezi fuatana Nataka kushare lakini Sahii nikama hatuwezi patana Ukipata nalaza Ulinipata Kwa Jua mwili nimetandaza Nilipata hiyo number Nilimpata kwenye njia nikamshika nkampata Yeah (Yeah) Vile nafanya nikupata hii Mali na kudance bila haya (Yeah) Vile nawaza lakini Sahii niko sawa na panda Ukinipata na Otolo napanda Ukinipata na Chalo napanda Ukinipata na Njeri napanda Ukinipata pia na Hulio napanda (Yeah) Dame Ako sawa Ni Mdosi Harogi Kaa ufungui mlango narudi Kaa ufungui mlango narudi
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Napanda Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 8 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/10589169/ChozenAfitra/Napanda>.
Discuss the Napanda Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In