Napanda

ChozenAfitra

0 fans

ChozenAfitra


3:17

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Dame Ako sawa
Ahh
Ahh
Ni Mdosi
Kaa ufungui mlango narudi (Ahh)
Kaa ufungui mlango narudi
Ukinipata na kataa
Ukinipata na pata
Chozen nakuja kuwasha
Chozen nakuja kupata
Chozen naona unataka kuwashwa
Niko sawa ukinipata na washa
Asha
Dame Ako sawa hakosi
Ni Mdosi
Harogi
Nikija na hodi
Kaa ufungui mlango narudi
Mmmh
Hunioni na mbogi
Nahala lakini Kwa njia nikama hatuwezi fuatana
Nataka kushare lakini sahii nikama hatuwezi patana
Ukipata nalaza
Ulinipata Kwa Jua mwili nimetandaza
Nilipata hiyo number
Nilimpata kwenye njia nikamshika nkampata
Yeah (Yeah)
Vile nafanya nikupata hii Mali na kudance bila haya (Yeah)
Vile nawaza lakini sahii niko sawa na panda
Ukinipata na Ndugga napanda
Ukinipata na Martin napanda
Ukinipata na Nyago napanda
Ukinipata pia na Mango napanda (Yeah)
Aah
Ukinipata na kataa
Ukinipata na pata
Chozen nakuja kuwasha
Chozen nakuja kupata
Chozen naona unataka kuwashwa
Niko sawa ukinipata na washa
Asha
Vile na ringa na koti (Aah)
Sikosi (Aah)
Me mdosi (Vile undai Ai)
Ukinipata na kataa
Ama nipate Kwa kazi na pata (Bado na pata)
Mmmh (Vile na Paa)
Nipate na washa (Pata na pata na wai)
Tembea na wawili safari naona tufike Naivasha (Ah Yeah)
Siku tatu kwenye njia alafu turudi tufike Mombasa (Yeah)
Vile wataka kama ni dishi wajua utapata (Ai Ai)
Ukitaka kufika na chopper kuna Pilots me naweza kutaja (Taja)
Soma vitabu uanze kupata mawazo napata (Yeah)
Vile na songa nikama Mamangu alijua nitawaka (Aah)
Ukinipata na Nga'nga napanda (Aah)
Ukinipata na Cedi na panda (Yeah)
Ukinipata na Shanja na panda (Aah)
Ukinipata na Anita napanda yeah (Yeah)
Aah
Ukinipata na kataa
Ukinipata na pata
Chozen nakuja kuwasha
Chozen nakuja kupata
Chozen naona unataka kuwashwa
Niko sawa ukinipata na washa
Asha
Dame ako sawa hakosi
Ni Mdosi
Harogi
Nikija na hodi
Kaa ufungui mlango narudi
Mmmh
Hunioni na mbogi
Nahala lakini Kwa njia nikama hatuwezi fuatana
Nataka kushare lakini Sahii nikama hatuwezi patana
Ukipata nalaza
Ulinipata Kwa Jua mwili nimetandaza
Nilipata hiyo number
Nilimpata kwenye njia nikamshika nkampata
Yeah (Yeah)
Vile nafanya nikupata hii Mali na kudance bila haya (Yeah)
Vile nawaza lakini Sahii niko sawa na panda
Ukinipata na Otolo napanda
Ukinipata na Chalo napanda
Ukinipata na Njeri napanda
Ukinipata pia na Hulio napanda (Yeah)
Dame Ako sawa
Ni Mdosi
Harogi
Kaa ufungui mlango narudi
Kaa ufungui mlango narudi

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Richard Muchogu

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Napanda Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Napanda Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 17 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/10589169/ChozenAfitra/Napanda>.

    Missing lyrics by ChozenAfitra?

    Know any other songs by ChozenAfitra? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "I Can Help" is a 1974 biggest hit single for which artist?
    A Kenny Rogers
    B John Denver
    C Billy Swan
    D Glen Campbell

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    ChozenAfitra tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!