Lyrics.com »

Search results for 'utamu'

Yee yee! We've found 215 lyrics matching utamu.

Year:


Filter by gender:

Lyrics:

Lile lile…
Acheni muone utamu wa Yesu we
Mama we onjeni utamu wa Yesu we
Mwenzenu nimeonja utamu wa Yesu we
Usione nina raha nimeonja utamu wa Yesu
Unapunguza utamu
Yao yao, unapunguza utamu
Si wanapenda kubang
Unapunguza utamu

Kwa hiji boy ni mhubiri
Wengi tumeshakiri
Ila kamba umechanja siri
Kwakeee yeyee
Ukipanda napanda nawee
Ukishuka nashuka nawee
Mwanasesere nshakua mie
Kwakee yee
Ananipaga utamu utamu tam
Nimelewa na utamu utamu tam
Aniuwa
suluhisho wowo
Anza tena Walipodhani nimefika mwisho
Ndio Mungu ameanza tena
Walipodhani sina suluhisho
Mwenzenu naona utamu utamu eyaa (Naona utamu)
Kwa Yesu
Utamu - Mabantu
...
mabantu utam
unapunguza utam
kiruuuu
unapunguza utam
Kanee
unapunguza utam
si wanapenda kubeing
dj ongeza sauti alafu punguza
miuno uhatari
Nipe nijivinjari
Nipe miuno uhatari
Nipe nijivinjari
Nipe utamu wa sukari
Nipe utamu wa asali
Nipe utamu wa sukari
Nipe utamu wa asali
Gime
Chochote fanya mama mi nishapenda

How come vimezaliwa vingi vya utamu (Tika tika, tika tika, tika tika)
How come vimezaliwa vingi vya utamu (Mkubwa na
kitambi
Punguza utambi uloweka weka
Mimi niko radhi twende kwa Wazazi mbagara chamaziii
Kwa baba na mama
Basi nipe utamu
Na mi nikupe utamu
Tupeane utamu
utamu)
olala olala waka waka eeh (weka utamu)

#Boni Burudani
Pararaaa palila la mpara (nakupakia mukongo)
Pararaaa palila la mpara (nakupakia mukongo)
Menya usile na maganda oyeee
Raha utamu kunoga Oyeeee
Kwa mwendo wa kinyonga
Ta ta ta Taratibu ukijilambaa eeee eeee Eeeeeee
Maana Ni Sweet sweet
Robby vibe
Secret
Madiko diko nikikupa utajilambia
Bandika bandua
Utamu Kolea la la la la
Nami napenda mkungu wa ndizi
Tunyama kujisevia
Jicho la
mapishi yangu yanakungoja
Natunda tamu lalegeza fahamu
Hamna la haramu kama kuna utamu
Maembe dodo
Utamu mpaka kwenye kisogo
Kashata nameza kidogo kidogo
mtata
Simu nsipopokea, labda ni data

Mimi pekee ndo ninaelewa, utamu wake
Ananifinyanga nalainika, mi saizi yake
Mimi pekee ndo ninaelewa, utamu wake
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha

(Aaaah nigandee)
Utamu wako naujua miee
(Aaaah nigandee)
Usiniache nishikiliee
(Aaaah nigandee)
Utamu wako
stanza
Sio siri nimedata
Naseti mitambo
Utawasha candles
Tabibu wa moyo
Hunanga uchoyo

Kuna pahali
Ukinigusa mwenzako nalegea
Utamu Fulani siwezi Zeleza
are my mpenzi baby
Mpaka milele
You are you are, you are you are
Utamu utamu na we
Nikiwa nawe
Utamu utamu na we
Baby come on my way
You are my destiny
aah..
Eeh zaidi ya nyuki utaioenda kida aah..
Mh, basi songa nikwambie..
Utamu wa mapenzi unigawie.. Sitofanya unikimbie..
Siri ya kupenda uniibie..
Basi
Wewee
Mi ni yule Lazaro niliyekufa
Weh yesu nifufue
Kwenye jangwa la Mapenzi
We maji nikomboe

Unanifanya nagunaguna
Nashindwa sema
Utamu umezidi tunda
kama ni mganga eee
Mzuri uyo mganga wako
Sio kwa kunipumbaza uku
Bby mmhh
Mamy ongeza ubuyu
Nizidi kuumumunya eee
Tena na sukari guru
Utamu nikitafuna
niwenawe mwenyeweee
Nasijisifu utamu wangu niweee
Yendo yanga yasolo
Nipona namotema
Yendo yanga yasolo mumy eeeeee

Chonde chonde baby
Chonde eee
Shekereree
focus, Chemsha okra
Ukali na utamu yote nimeyaonja
Nimeyaonja, nimeyaonja
Ukali na Utamu yote nimeyaonja
Nimeyaonja, nimeyaonja, ukali na utamu yote
kuherera baba
Utungamizi japo niulimishe

Utamu, utamu wa moyo wangu
Mi kupendwa nawe
Utamu, sa nini tatizo mami
Basi sema nielewe

Ah Salima ooh (Oh ayee)
tight kuzuga sitaki
Utamu wote mi napata
Kama saa ya majira kwake mi nasimama
Napoteza dira kama teja mi nazima
Na zangu hisia kwake mi nimekwama
Baby
Nidekeze nipate raha duniani

Nidekeze nijirimbwase na mimi

Nichombeze nikolezeke chumbani

Nilambishe nipate utamu wa sukari

Nkiwa nawe


Mi

Discuss these utamu Lyrics with the community:

0 Comments

    We need you!

    Help build the largest human-edited lyrics collection on the web!

    Search for song lyrics by

    Genres »

    Styles »

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    REM: “I thought that I heard you laughing. I thought that I heard you sing. I think I thought I saw you ____”.
    A fly
    B cry
    C try
    D lie

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!