Lyrics.com »

Search results for 'nilikuwa'

Yee yee! We've found 161 lyrics matching nilikuwa.

Year:


Filter by gender:

Lyrics:

No! No! No! Oh Nooo
Kusema Ukweli,baby me nilikuwa nakupenda
Lakini wewe, ukaniona mjinga unicheze
Kusema ukweli,baby me nilikuwa nakupenda
Lakini
Naeza ruka toka nduthi 
Naeza dondoka kwa gari 
Ata kabla nipate mavuzi 
Nilikuwa na ujuzi wa maji na rangi 
Piga picha hiyo sampuli 
Hiki kilimo cha
....ya ma fallen soldiers

Nilikuwa napiga sala zile time sikukuwa najibonga
Kuekelea kazi ju ambition ilikuwa kujitoa
Ilikuwa more power more power
compared na Nasty C
But I took a different route juu inside nilikuwa na self-doubt
Singeweza release music 'kwa game nilikuwa nimw half-step
Nilikuwa honest
Verse 1:
Nilikuwa naenda kusafisha chumba, kabla sijalala ghafla,
Nilikuwa nimepanga kuamka, lakini nililala ghafla.
Chumba changu bado kiko vurugu,
Mengi nimekosea na kukuchukiza
Mi nafanya mambo yasiyo stahili
Nimevuruga vuruga mipango yako
Wanihurumia
Mbele ya macho ya wanadamu
Nilikuwa nikijificha
Uuh His Amazing grace 
Uuh His Amazing grace 

Nilikuwa mwana mpotevu
Lakini Yesu akaniokoa
Nilikuwa mwana mpotevu
Lakini Yesu akaniokoa
Nilikuwa mwana
Hee
Hee
Hee
Hee
Nilikuwa nikicheza, Kwa matope
Sasa nimekwama
Ninalia, Eh Baba
Uje unitoe, Hapa
Nilikuwa nikicheza, Kwa matope
Sasa nimekwama
kwake daily alikuwa anani host
Akiniambia venye mimi ndo nampea the most
Nilikuwa na spend sikuwa na spare the cost
Nime move on lakini bado nataka ku
nilinda
Wanao nichukia niwengi sana
Kuliko wale ninao waona
Hapo zamani nilikuwa
Nauoga moyoni nikizani niko peke yangu
Kumbe wanao nilinda ni wengi sana
nilikuwa na cheza joh na basi
Sai niko na dinga tu iko parking
Hakuna dem nime msuka akadai anitaki
Nilikuwa naskuma mjengo bila shati
So wacha kusema mi
nilikuwa na cheza joh na basi
Sai niko na dinga tu iko parking
Hakuna dem nime msuka akadai anitaki
Nilikuwa naskuma mjengo bila shati
So wacha kusema mi
Betty akanikunywa nikableki ei
Akanipea nikapass away, tukiskiza mangoma za Omah Lay
Me ndoo nilikuwa DJ, what a day nikam kuconfess
Alphabetically kwangu
trap to saa tisa ni mboka
Nilikuwa hapo hio jogoo ikiwika
Nimeona Subru ikinipita
I think kwa hio rounda scene ilipigwa
Burus iliskika street iliwika
zimepita si ndo tulipata
Wakati nilikuwa nasaka tu manzi anaweza nipenda
Wakati kila manzi nilikatia alikataa vako zangu
Niliomba mungu daily joh anilete
Nishaiona njia nani anipoteze
Ka ninachotaka ye anakimiliki daily
Ninaposhindwa ananifunza ili niweze
Nilikuwa down below but sahivi am getting
maelegezo yake ipasavyo
Hali hiyo itakuja kuwa istoria

Nilikuwa na chunga mifugu ya nyumbani kwetu kwa bidi zote
Nikijua huu ni wajibu wangu

Tazama mifugu
yangu silifamu mimi
Mama
Nilikuwa niya muda
Sita kwisha shida

Kumbendo wanza
Naaanza
Nilikuwa ni na mizita
Mama dunia ukaiaga

Adie nulea na kunikuza
Willy Pozeee....
Willy Willy willy pozeee
Ah willy pozeee......
Mmmh nananah
Mmmnnh nanananaah

Nilikuwa tempted tempted kuparty sana (sawa)
Tempted
soko/
Ntamvisha pete leo leo/
Sio wa mchezo ka kazi ya kwenye video/
Ananikaanga roho/ananisaga moyo/
Sipo sawa akili imevurugwa nayo/
Nilikuwa poa tu
Mambo yangu ya zamani ameshayasahau
Uovu wangu wa zamani hataukumbuka

Hata kama unajua nilikuwa ni msinzi ndio
Usinikumbushe, Mungu ameshanipokea ah
kijana)

Verse 1
Kuna kipindi nilishaziba pancha,
Nishakula sana tungi, nishavuta ganja,
Nilikuwa sijivungi na wanangu viwanja,
Kwa marungu ya wazee
Nakumbuka nikikuita unasonya 
Wanipandisha ,Wanishusha 
Nilikuwa Sina doh 
Mtaani Nala dodo 
Nilikuwa Sina Jambo
Iweje Leo nina Jambo 


Mwana
nililalia maskio(mi nililalia maskio)
Buda nilijua nimepatwa(patwa) vile nilikuwa naona anaskwa(sakwa) ilibidi nimewasha(ayee) niendelee tu nikiwaza 
(Yeah

Discuss these nilikuwa Lyrics with the community:

0 Comments

    We need you!

    Help build the largest human-edited lyrics collection on the web!

    Search for song lyrics by

    Genres »

    Styles »

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "Eye popping" is from which Katy Perry song?
    A Hot N Cold
    B Firework
    C Last Friday Night
    D Peacock

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!