Lyrics.com »

Search results for 'mwaminifu'

Yee yee! We've found 71 lyrics matching mwaminifu.

Year:


Filter by gender:

Lyrics:

Wewe ndiwe Mungu
Mungu wa miungu
Unalosema linakuwa ndio
Wewe si mwanadamu
Hata useme uongo
Wewe ni Mungu mwaminifu
Wewe ndiwe Mungu
Mungu wa miungu
Oooh ooh ooh
Eeh yahweh eeh yahweh
Wewe ni mungu mwaminifu hubadiliki kamwe
Eeh yahweh eeh yahweh
Wewe ni mungu mwaminifu hubadiliki kamwe

Wewe sio
(Yeye yeyeeeeeeee)

VERSE 1.

(Kila siku kila saa
U mwaminifu Jehovah)2

(Asubuhi,
Heeee!
Mchana, U mwaminifu Jehovah)2

Jioni hata Usiku
yeleleeeee
Yesu
Si mwanadamu, adanganye
Yesu jina lake
Akiahidi, ni mwaminifu
Kwa kweli njia zake, si kama zetu
Ni mwaminifu, ni mwaminifu
Yesu, Jina lake
Akiahidi,
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu

Bwana Mungu wangu weh
Umenikomboa eh
Umeniwezesha mimi
Wewe ni mkuu
Ukaniita Kwa jina
Umeahidi wewe bwana... huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni mungu uliye mwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako baba
Niache niimbe

Mungu ni mwaminifu, Mungu ni mwaminifu
Mungu ni mwaminifu, Mungu ni mwaminifu
Hakuna anayeweza sema hajapewa kitu cha kufanya,
Mungu ni
Ndugu yangu,
Mungu aliye kupatia ahadi ,
Yeye ni mwaminifu ,
Mara nyingi unaeza ona, Ni kana kwamba amesahau
Lakini mungu hajasahau,
Subiri bwana,
Katika safari yetu

Roho mtakatifu
Kiongozi mwaminifu
Uwe msaada kwetu
Safari ijapo ngumu
Sisi tuwasafiri
Duniani sio kwetu
Tutangaze habari njema 
Bwana
Ndio maana ninashindwa kusimama,
niondolee hii aibu Bwana.

Nakwamini, nakwamini wewe tu, 
nakwamini oh oh oh oh!
Mwaminifu, Mwaminifu yesu tu,
you lie
What you say you
You commit to do it

Wewe mwaminifu
What you say you do
You commit to do it
Wewe mwaminifu
Faithful is our God
Faithful is our
ni mwaminifu.
Mizani yake ipo sawa, 
Kwa masikini na tajiri,
Hapendelei hutenda haki kwa wote. 

Tunae mungu mtetezi, 
Mwenye uweza hashindiki,
Hata
Moyo wangu, usichoke,
Mungu yupo, hatakuacha,
Tulia tu, usife moyo
Anakupenda, Anajali,

Ngoja tu, 
Machozi yote, atafuta
Ni mwaminifu, kwa wakati
Je yawezekana tuishi hata sekunde moja tu bila uwezo wake Bwana? Haiwezekani kamwe!! Mikono yake i juu yetu adui asituangamize; ni mwaminifu Yesu
Ninapo kuomba baba unisikie
Maana wewe ni mwaminifu
Nataka kuishi kwa njia zako bwana
Nifinyange mimi hadi ninyoke
Halafu baraka zako naziwe nami
Siku zote
mwaminifu
Ziba masikio jivute ufike salama
Kuna kudharauliwa hata kuchekwa
Watu wanafuatilia maisha yako
Ukiwa maskini ewe mwaminifu
Ziba masikio jivute ufike
mwaminifu Kukamilisha ulichoanzisha
Wewe mwaminifu Baba

Nashikilia maneno Baba ulisema
Nashikilia ahadi
Nashikilia maneno Baba ulisema
Nashikilia Imani
Aliyeahidi ni mwaminifu
Atatimiza kwa wakati wake
Akiahidi yeye si mwanadamu
Atatimiza kwa wakati wake

Akisema anatenda akiahidi Anatimiza
Ahadi
Wewe mwaminifu
Wewe mwaminifu
Wewe mwaminifu
Wewe mwaminifu
yoote
Bado nitaamini

Verse :
Si Mara y’a kwanza
wanitowa katika magumu
Ni na ushuhuda zaidi ya moja
We ni mwaminifu
Ni na historia maalum
We ni chemchemi
kunitowa katika magumu
Ni na ushuhuda zaidi ya moja, We ni mwaminifu
Ni na historia maalum,We ni chemchemi ya uzima.

Nitaamini, bado nitaamini
Ukiniponya
huyu
Mwaminifu
Kwa hakika
Ni mwaminifu
Yesu
Ooh uuh

Jiwe langu Yesu
Mwaminifu Yesu
Haki Yesu
Ngome Yesu
Nguzo Yesu
Aah aah
Jina lako Yesu
Yesu Yesu
Haki Yesu
Mwaminifu Yesu
Wewe Yesu
Aah aah
akakuweka tumboni miezi tisa
Mama yako alikuwa mwaminifu kwa Mungu,
Akakutunza tumboni miezi tisa
Mungu alimuamini mama akakuweka tumboni miezi tisa
Mama yako

Discuss these mwaminifu Lyrics with the community:

0 Comments

    We need you!

    Help build the largest human-edited lyrics collection on the web!

    Search for song lyrics by

    Genres »

    Styles »

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    What band has hits like Counting Stars, Apologize, and Good Life?
    A Coldplay
    B Imagine Dragons
    C OneRepublic
    D One Direction

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!