Lyrics:
Nitakucheza mbaya ukizidi kutafash (Tafash)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mambogi wako mamoshi (Mambogi)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na
Niko mamoshi
nakanibash tunapiga na wadosi
Vitu safi safi siunajua mi sikosi
Sare ma swara yani sipendi mikosi
Ah! Niko mamoshi
Naka ni tunapiga na
campaign she want a part two
Give her the cane, she said thank you, siwezi mblein, that's a taboo
Shika hii pen, andika kitabu
Sina madrinks Niko mamoshi
(blazing)
Kwa Ceiling juu kumejaa tu mamoshi ( moshi)
Sitawahi tense oh
Sitawahi tense oh
Tutawahi benzo
Tutawahi benzo
Madame wako Chini nyash zinamove tu (
namba 1960
Giza moja si yee unitempt na kileso bila nini
Na mahaga ziko chin ,Ziko nditni
Nka mkaribisha chingrii
Keja pia ni chimni
Ni mamoshi mamoshi
bonfire ibambe usiku kuu
Mahottie na manyake ma munchie hua kibambe
Mamoshi za mangale ka kijiko ya nare
Juu leo ni siku kuu, so you what it is
Twapepeta
black ndio attire
Ni kulia ama kupass kushoto
Mashada fo mashida, kaa dalili ya moto
Nko mamoshi, fuck all that old shit
Na lately sidai kukata ma ocean
loaded, sijawahi kosa content
Delivery noma, mistari nafikisha doorstep
Tuko tu mamoshi kaa takeoff ya rocket
Breeder, Omollo kuwa sure hii ni problem
Na
kuwazungusha
Mbogi inadai mashuksha zabe ya fudhi nmeshuka matuta
Kaa ni maasai namruka
Jua ikiwaka na mvua mashuka
Niko na geng 420 mzabe mamoshi hufuka
Paka
Nilivyowasili ni mimi na wawili, heh
Pesa otas, mamoshi na ma-drinks kizee
Luku fisa, ngoto tisa
Mwengine anaitwangwa Lisa anani-call maze, uh
Lakini huyu askari
dombololo
Mamoshi Niko gassed
Nachafua kama dust
Wako kutu wanarust
Niko wax kama ras
Badman
Za matope jo ni mad man
Kaa iko fiti iko fyam man
Tanye
mamoshi no sporto
Accurate, B.V
Plug life kwa C.V
Hustle hard on repeat
Niko ten toes kwa hii city
10 over 10 najirate
Mtaani gizani nabake
And up in
sickly
Drip nile ya gucci nikey dior lv na fendy
Ukicheza utashika hio panty
Mamoshi mashadda cof! cof! hukua hobby
Me hukua na hit na hittas wengi ka 15
favours
Mboka ndio the fom ni kusaka tu mapaper
Nairobi ni porini huna dame kaa huna Hela
Kejani ni mamoshi bana hakunanga hewaaaa
Aiii
Tell me what you
Afaande
Pole Leo Sina Kipaande
Ni Mamoshi Na Mangeus Kila Upaande
Naskia Wega, Githinyaku Mwaaki
Wega Githinyaku Mwaki
Wega Wega, Githinyaku Mwaaki
Wega
Nikona pack ya mabeat mi nadai kuhawl
Ni mali safi ilifanya nikauwa loud
Niko mamoshi joh keja inachomeka
Nikona flow na Haiwezi choteka
I rap hard buda
Discuss these mamoshi Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In