Lyrics:
mdundo wote warudi chupa
We ni msupa mwili bila mfupa
Kamatia chini
Kamatia chini
Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini
Kamatia chini
Kamatia chini
Kamata chini, kamatia chini
Kamata chini, kamatia chini
Kamata chini, kamatia chini
Kamata chini, kamatia chini
I'm gonna call you lolo,
I'm going
Haya shika( yooh ) sasa twende ( wizzy young kill the beat ) Dada shika ( East African sound ) kamatia upendo
Haya ( Chiiiih) shika sasa twende
Makachumbali Nghwaru
Kwenye Singeli Nghwaru
Hainaga Ushemeji Nghwaru
Tunanghwarua Nghwaru
We Cheza Singeli Nghwaru
Wakikugusa Henhe
Kamatia Chini Hachomoki
nikikuonaga
Baby you unanichizishaga nikikuonaga
Come over girl
Kamatia hiyo
Si unapendaga hivyo
Ooh baby come over girl
Ukinifanyaga hivyo
Nitakuwachaje hivyo
Karibia
Twende chini twende chini Kamatia
Kuja nami kuja nami Karibia
Karibia Karibia
Kuja nami kuja nami Karibia
Twende chini twende chini Kamatia
Kuja
unanitesa aah
Dunda na beat c imeweza
Kamatia we legeza yeah
Coming so closer we dondosa
Checky vile baby uko fine
Can you be just mine
Ukisonga
Nabil una niita ita
Mi napendaga
Nalipa mabill tukienda diner
Unapendaga
Baby oh baby oh oh
Kamatia chini
Baby oh baby oh oh
Unaogopa nini
Baby oh
baby
Bounce on the beat to the rhythm
Bounce on the beat to the
Take it down low niko chini
Kamatia low si kortini
Shoti mbili mbili za martini
Am a big
mchanganyiooo, Mbona moyo ndo una enda mbiooo
Na changanyikiwaaa
Ndani ya ngozi sipo nguoni, kwake stimu nipo common
Kutwa nipo pembezooni, anani susia kamatia
can be your Aladdin
Give you all my world
So kamatia taka ah bend down taka
Go down taka omoge le ooo
Mpaka chini Kata
Nijeje taka a baby taka
Oh girl
nani
Sasa chagua utajifungia chumbani
Au unatoka goma lipo uwanjani
Kushoto kulia juu chini kamatia
Mzigo wa abiria dereva na gia
Kichwa cha panzi alewe
kimachepele
Nyuma sitoki sale Kamatia Chapa Isilale
Shapata nafasi piga kelele
Ka mizuka piga vigele
Kanakatika kama sebene
Weka ndani usichelewe
Her body
prayer groupuinì
Ùì ùùì
Nì maheni
Ì ùì ùùì
Nì maheni
Ùì ùùì
Nì maheni
Ì ùì ùùì
Nì maheni
Twacemanirie
Handù kirabuini
Ùinage iria
Cia kamatia chini
Ìì
lako weze
Jiachie just get busy
Uondoe stress
Kamata kiuno kilicho legea
Wanavyo twerk mpaka
Kamatia kama vile chawa
And dance
Kunywa pombe uongeze
good tucheze
Night is so young tubebwe
Legea wacha ikubebe
Weka shida chini
Twende mpaka chini
Kamatia chini
Twende taratibu
Ae! Ae!
Let the melodies
MWAGITO TINGISHA KAMA IMEKWISHA
MWAISA MPATIENI CHA KUPIMA
ATAE MWAGA POMBE YANGU LEO NAPIGA BAR NZIMA
SIO MTIBWA SIO SIMBA SIO YANGA
KAMATIA DEM BAMBIA
to you all night long
And I can be your Aladdin
Give you all my world
So kamatia Kata
Bend down taka
Go down taka
Omoge le ooo
Mpaka chini Kata
Discuss these Kamatia Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In