Jeshi
Harmonize
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Sometimes what you dream Can be deceiving Na huwezi kuvuna usichokipanda Thanks God for giving Ghetto sikuwa na umeme wala cable Hizi moja T-Shirt na yebo Ati leo namiliki lebo Lebo, Konde Gang lebo Siku zote kisicho kuua Kitakufanya uwe ngangari Ata mwanga huwezi kumjua So ishi nao kwa tahadhari My sister, siku hizi shape wananunua We pambana upate salary Ila usisahau pesa maua So ukikosa hata usijali One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Three love kwa master na rita Mlinifanya hasira zizidii Four love njia ngumu nilizopita Mkanipa na jina mkasema niitwe Jeshi, konde boy Jeshi Tena siku hizi wananiita tembo Jeshi, hata we ni Jeshi Yaani kama una pigo za kirembo Jeshi, konde boy Jeshi Yaani wanangu wananiita tembo Jeshi, hata we ni Jeshi Yaani kama una pigo za kirembo One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Mi naamini Mungu yupo tena Naongea nae japo sisikii sauti yake Nikianguka ntainuka tena So usishangae why tembo anahustle peke yake Coz I know, unapokiokota Ndo wakati wakukitunza Ili kesho kisije potea Na unaposota ndo wakati wa kujifunza Ni wapi ulipokosea Sio kama siwezi kujibizana Ila mwenzenu nimeumbwa na subira Cheki madili yanavyogogana Coz nina nyota ya Libra Nbona siwaoni walotumwa kunitukana Vichwa vyao kimya Tena siku hizi siimbi sana Wacha washindane na Ibrah I say one love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Three love kwa master na rita Mlinifanya hasira zizidii Four loνe njia ngumu nilizopita Mkanipa na jina mkasema niitwe Jeshi, konde boy Jeshi Tena siku hizi wananiita tembo Jeshi, hata we ni Jeshi Yaani kama una pigo za kirembo Jeshi, konde boy Jeshi Yaani wanangu wananiita tembo Jeshi, hata we ni Jeshi Yaani kama una pigo za kirembo One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Konde boy… LYRICS PUBLISHED BY: PROMOTER MUSA
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Written by: Rajab Abdul Kahali
Lyrics © Promoter Musa, PM Music Publishing Ltd
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Jeshi Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 28 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric/38407116/Harmonize/Jeshi>.
Discuss the Jeshi Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In