Haina Makombo
Nay Wa Mitego
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Haina nananaa haina yeah Ki Chi chi na naipara pia (taekwondo) kifo ni mchanga pia Kuchi chi ni kwenye zuria (ka mcongo) nasikia unaitaka hio Najua unaipenda unataka pia utamu wake ndio unafanya tunaigombania Nikipita nawe utapita pia hainaga makombo we utamalizia Wengine walitunza yani tunacheza embe bichi bila chumvi wanamega Sakafuni hio meza mbona shega injini mbovu ila body linatega Kuna za buku mbili jero mpaka bwerere sio kitonga shuka mpaka senjele Pastor church kagongesha kengele shiiiii (Haina makombo) Haina haina haina ina (Haina makombo) Haina haina haina ina (Haina makombo) Haina haina haina ina (Haina makombo) Haina haina haina ina Zipo zenye sura mbaya na zimechaka samaki papa mwenye ladha ya dagaa Haina toxic haikatai ila ogopa masela ikisema imewakataa Haa ikichemka buda we unaweza ipepea (aipepe aipepe) Tunachapa wima wima na haitembei (aitembei aitembei) Nimesimamisha bus kituo sheri simba kala nyasi mpaka kuberi Nikipewa pass yani no kufeli ndefu ikigoma mwisho wa reli Anaeidharau hii mboga haki ya nani alaaniwe hainaga kipolo sio lazima upashiwe Haijawai kosa radha ina kachumvi tu hata uichakaze vipi kwangu safi tu (Haina makombo) Haina haina haina ina (Haina makombo) Haina haina haina ina (Haina makombo) Haina haina haina ina (Haina makombo) Haina haina haina ina Hehehee hainaga makombo weeee haina haja ya kupasha Kuna za buku mbili jero mpaka bwerere sio kitonga shuka mpaka senjele Pastor church kagongesha kengele (he eh aya) (Haina makombo) Haina haina haina ina (Haina makombo) Haina haina haina ina (Haina makombo) Haina haina haina ina (Haina makombo) Haina haina haina ina (haina makombo) hahaha oya maneck msalimie musa babaz wa babaz Hii ni 254 na 255
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Haina Makombo Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 24 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/9721273/Nay+Wa+Mitego/Haina+Makombo>.
Discuss the Haina Makombo Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In