Nimeshindwa
Tunda Man
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
My life without am not swear Nishajalibu kuimba nyimbo zote Ndio nangoja miujiza initoke oyaya Katika vitu vyakucheza navyo usicheze na hisia Zitakupeleka kubaya ndugu yangu nakwambia Katika vitu vyakucheza navyo usicheze na hisia za mtu Wengi wameenda jera kisa mapenzi wameuwa mtu Kwenye mapenzi bwana usikosee njia Utakujajutia wengi wameshalia Ona wakwangu ameshanikimbia Kutwa namlilia kwa uchungu Baby wako unampa asilimia mia Watuwatamfukuzia wanakuchukulia Aha nyatunyatu baby wanamnyatia Vidola mia mia vya kwashungu Nimeshindwa Nimejaribu kukuweka mbalii (nimeshindwa) Mdomo umetamka sikutaki ila moyoni(nimeshindwa) Eti nisikuote nisikufikilie mwenzako (nimeshindwa) Kuwa mbali na wewe kwenda mbali na wewe niendako (nimeshindwa) Nimeshindwa,nimeshindwa,nimeshindwa. If i can open the door Gonna you seal before Labda sing ug sing full Sasa najitesa tu roho Mwili maumivu komando Twende polepole Jaribu kuongea na watu Umepata msaada sana pole Sometimes nastuck siwezi hata kufanya chochote (papap) You shut my heart am dead man ok Naangalia wapi Vipande vya moyo wangu hata niokote Naweza nkajiungaunga nitafute njia nitoke (nimeshindwa) Moyo wangu nilioinvest Najua kuwa nawe at all is my best not some Ntafanya kila kitu nikupendeze we Usipauke we ung'ae na pesa za madafu Nimeshindwa. Eti nisikuote nisikufikilie mwenzako (nimeshindwa) Kuwa mbali na wewe Kwenda mbali na wewe Niendako (nimeshindwa) Nimeshindwa Nimeshindwa Nimeshindwa
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Nimeshindwa Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 8 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/9624374/Tunda+Man/Nimeshindwa>.
Discuss the Nimeshindwa Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In