Starehe Yako
Nay Wa Mitego
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Aye aye baba Aye aye baba Ah tumezaliwa mara moja tunakufa mara moja Hata kuishi tunaishi mara moja Sisi sote ndugu watoto baba mmoja Tofauti matamanio hapa ndio kwenye vioja Kila mtu na starehe yake bwana (ndio maana yake) Starehe yangu muziki napenda na wanawake Kuna wapenda tungi wazee wagambe Raha ya pombe ulewe hiyo ndio starehe Wavuta bangi nao wanasema hiyo ndio starehe Hawezi kula hawezi lala mpaka avute Mwingine starehe yake yeye kupiga chabo tu Mechi ucheze wewe atapambana apige deo tu Upendi starehe yangu nami sipendi ya kwako Kila mtu na starehe bwana fanya ya kwako Mimi naona fresh tu Yani ni raha tu Maisha matamu Ila mafupi wewe enjoy tu Aye aye baba (aye aye aye) Aye aye baba (aye aye aye) Huwasizai mavitu mingimingi natakuwa confortabo Na watoto sio big big napendaga na vipotabo Kila mtu na starehe yake (kila mtu kila mtu) Kila mtu na starehe yake (kila mtu kila mtu) Starehe ni nyingi na kila mtu ana yake Usimwingilie mtu kwenye starehe yake Hizi starehe zingine bwana noma sana Kuna kina dada starehe yao kusagana Ameacha mwanamke ndani amekwenda kupiga nyeto Hiyo ndio starehe yake usije dhani ana mapepo Kwenye starehe ya mapenzi haki ya mungu tupo wengi Ya kuzini motoni tutaenda wengi Kila mtu na starehe yake bwana (ndio maana yake) Anayejua utamu wake bwana (ndio maana yake) Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako Hakuna noma vuta sindio starehe yako Aye aye baba (aye aye aye) Aye aye baba (aye aye aye) Huwasizai mavitu mingimingi natakuwa confortabo Na watoto sio big big napendaga na vipotabo Kila mtu na starehe yake(kila mtu kila mtu) Kila mtu na starehe yake(kila mtu kila mtu) Kinacho kupa furaha hiyo ndio yako starehe Itunze usikubali kipotee Kama unapenda soka ndio yako starehe Hata ikifungwa team yako itete Aye aye baba (aye aye aye) Aye aye baba (aye aye aye) Huwasizai mavitu mingimingi natakuwa confortabo Na watoto sio big big napendaga na vipotabo Kila mtu na starehe yake(kila mtu kila mtu) Kila mtu na starehe yake(kila mtu kila mtu)
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Starehe Yako Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 24 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/9510160/Nay+Wa+Mitego/Starehe+Yako>.
Discuss the Starehe Yako Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In