Zikaa
Nay Wa Mitego
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Zika Zika Zika Zika Hey watagwani Kwani vipi nani anatudai Natesa bongo mpaka kenya was born to shine Tayari hii ni kesi ya kunyonga tai Wapinzani mko wapi niwazike hai Haipendizi piga kazi sio kuongea ongea Unyakyusa mwingi toka moshi mpaka mbeya mbeya I’m the one man army never compare Hii ni time ya mazishi i dont play fair Baba yaga nipo kwenye ramani Wakati wa vita unataka amani (zika) Na si walitaka shindana nami Shughuli ya wanaume wavulana fulani (zika) Aeeeeh (zika) Waleeeeeh (zika) Ai ai ai (zika) Ai ai ai (zika) Ai ai ai (zika) Ai ai ai (zika) Yesaya Bang bang halelluyah Chepeni tushakuzika hapa He he ushafutika Story itabakia flagi tushazimika utawala uni tu ya Bang bang bang bang Zemneli naliamsha asamaya Mazishi yanafanyika tu no choir Master na wa mitego mo fire Usitingishe meza ya wakubwa ni hasara Ujuzi wangu uku juu Kichwani niko full Moyoni niko true Sijui tutafanyaje full I’m a chief rocker microphone doctor Mtakuja mtekwenda ila bado niko hapa (zika) Wale wanao taka kutuficha tuna wa (zika) Kwanza hawana jipya (masia) Sisi ndio mamasta wenye future Mtajua hamjui ila mtaisoma picha (zika) Aeeeeh (zika) Waleeeeeh (zika) Ai ai ai (zika) Ai ai ai (zika) Ai ai ai (zika) Ai ai ai (zika)
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Zikaa Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 24 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/9434660/Nay+Wa+Mitego/Zikaa>.
Discuss the Zikaa Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In