Marangapi
CKO
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Mara ngapi wanachoma rada wakitry kuflex Mbona unataka kuchomea mwenzako alafu umpige dent We juwa mafish wamechizi hizi area na wao ndio wanakula kwa net Mambo inapigwa connect collect ondoka na upige the race Mara ngapi wanachoma rada wakitry kuflex Mbona unataka kuchomea mwenzako alafu umpige dent We juwa mafish wamechizi hizi area na wao ndio wanakula kwa net Mambo inapigwa connect collect ondoka na upige the race Wanashindwa vipi sibishani Juu niliwasoma kitambo roho ina chuki mnadai ni ubandi Ukikataa kubebwa ufala wanadai ni ego unashikishwa handy Ulidhani huyo plug ni understanding but unapimwa kiplani Nimecheki maboyz wakitokana bag Stressed out siezi take hata nap Nikidedi ndio ntapata the love Nakumbuka days nikibambwa ka plug But for a customer sio enough Kama si stenje hauwezi ku cuff Wasee wanakoroga sana joh ni tough Mara ngapi wanachoma rada wakitry kuflex Mbona unataka kuchomea mwenzako alafu umpige dent We juwa mafish wamechizi hizi area na wao ndio wanakula kwa net Mambo inapigwa connect collect ondoka na upige the race Mara ngapi wanachoma rada wakitry kuflex Mbona unataka kuchomea mwenzako alafu umpige dent We juwa mafish wamechizi hizi area na wao ndio wanakula kwa net Mambo inapigwa connect collect ondoka na upige the race Mboka inatuma vile wasee wanachizi na bado unawachapa ma threat Unapata wanageuza story wanasema we mwizi kidogo umechapwa regret,instead Target inakuwa the next na bread Hizi more zilianza na less Nashindwa mbona wengine wanavex Former child anapiga ma step Ile drip ulitaka iko kwa waba Hate me with your chest msijifanye maundercover Mishoni wanapiga siku hizi ndio imekuwa their other lover Jamaa anachocha the wing bandit na hana mabawa Mara ngapi wanachoma rada wakitry kuflex Mbona unataka kuchomea mwenzako alafu umpige dent We juwa mafish wamechizi hizi area na wao ndio wanakula kwa net Mambo inapigwa connect collect ondoka na upige the race
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Marangapi Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 15 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8701410/CKO/Marangapi>.
Discuss the Marangapi Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In