Ni Mungu tu

Yona Chitema

0 fans

Yona Chitema


3:42
#1

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Eti nije niseme
hivi nilivyo navyo
Ni kwa akili zangu
Au nije niseme
Hapa nilipofika
Ni kwa mkono wangu
Au kwa nguvu zangu
Watu huja watu huenda
Ila mpaji ni Mungu
Tena siyo wenye mbio
Au nguvu washindao medali
Moyo wanidanganya
Kujivunia akili zangu
Ila neema ya Mungu
Imenisaidia aaa
Heeeh

Ni mungu
Ni mungu
Ni Mungu tu (Ni Mungu tu)
Aliyetufikisha hapa
Ni Mungu tu
(Ni Mungu tu, ni Mungu tuuu)
Ni mungu
Ni mungu
Ni Mungu tu
(oh, uuuh)
Aliyetufikisha hapa
Ni Mungu tu
(Aliyetusaidia)
Ni mungu
Ni mungu
Ni Mungu tu
(huuuh)
Aliyetufikisha hapa
(Ni Mungu tu)
Ni Mungu tu
(Ni Mungu tu, ni Mungu tuuu)
Ni mungu
Ni mungu
Ni Mungu tu
(Ni mungu tuu, uuuh)
Aliyetufikisha hapa
Ni Mungu tu
(He eeeeh!)

Ikiwa ni kujidai
Nitajidai mbele zake Mungu
Ikiwa ni sifa
Nitalisifu jina lake
Hiyo neema yake Baba
Inanisimamisha
Huo mkono wake
Unanishindia mimi
Haya njoni enyi watu wote
Tulisifu jina la Mungu
Hivi tulivyo navyo
Ni mkono wake
Haya njooni, njooni, njooni
Watu tumsifu
Kwa uweza wake, eeeh!
Ni Mungu tuuu!

Ni mungu
Ni mungu
(Ye lelee le le)
Ni Mungu tu
(Ye lelee le le)
Aliyetufikisha hapa
Ni Mungu tu
(Ni Mungu tuu!)
Ni mungu
Ni mungu
Ni Mungu tu
Aliyetufikisha hapa
Ni Mungu tu
(Ni Mungu tu)
(Ni Mungu tuuu,)
(Ni Mungu tu)
Ni mungu
Ni mungu
Ni Mungu tu
(Aliyetufikisha)
Aliyetufikisha hapa
(huuh, huu, huuuh!)
Ni Mungu tu
(Ni Mungu tu, ni Mungu tuuu)
Ni mungu
Ni mungu
(Uuuh, )
Ni Mungu tu
(yelele le le)
Aliyetufikisha hapa
(eeeh! hee!)
Ni Mungu tu

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Yona Chitema

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Ni Mungu tu Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Ni Mungu tu Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 29 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8528494/Yona+Chitema/Ni+Mungu+tu>.

    Missing lyrics by Yona Chitema?

    Know any other songs by Yona Chitema? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Rap Monster is from which boy group?
    A BTS
    B The Vamps
    C Why Don't We
    D GOT7

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Yona Chitema tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!