Rhumba Ya Nzambe (feat. Alpha Mwana Mtule)
David Wonder
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Hapo mwanzo kulikuako neno Naye neno alikuako kwa Mungu Yeye neno alikua ni Mungu uuuh Mungu baba (Nzambe) Vyote vilifanyika kwa huyo wala Pasipo Yeh Hakungefanyika chochote Kilicho fanyika aaah Atukuzwe sana mungu baba Milele daima Yeh shetani, ye hujakuiba Kuchinja na kuharibu Hana lolote ye Mawenge tuu Mungu ngashamfukuzanga mbinguni Kisa kiburi yake Tusifuatane na yeye tumfuate Nzambe Hii sio ndombolo Hii ni Rhumba ya gospel ooh Ikikuingia kwa moyo Basi cheza kwa maringo Hii sio ndomboloo ya solo Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Mmh mi sipendi maneno Mi sio mtu ya maneno Nina neno la Mungu kwa moyo Narithika nalo Ya nini malumbano Sitaki malumbano Mungu amenifunza amani Come share with me Hizo story za umbea Sitaki Mtoto wa mungu na penda Amani eeeh Ye shetani ye huja kuiba Kuchinja na kuharibu Hana lolote ye mawenge tu Mungu ngashamfukuzanga mbinguni Kisa kiburi yake tusifuatane na yeye Tumfuate Nzambe Hii sio ndombolo Hii ni Rhumba Ya gospel ooh Ikikuingia kwa moyo Haya cheza kwa maringo Hii sio ndomboloo ooooh (Producer alexis, aah unafanyanga nini unacheza volume mzuri inamuingia Mwanadamu mpaka ndani ya mwili Kama kwa mfano, ulicheza guitar ngafurahi, nganiingia mimi na ndugu yangu David Wonder ah ah ah) Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Rhumba Ya Nzambe (feat. Alpha Mwana Mtule) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 5 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8515026/David+Wonder/Rhumba+Ya+Nzambe+%28feat.+Alpha+Mwana+Mtule%29>.
Discuss the Rhumba Ya Nzambe (feat. Alpha Mwana Mtule) Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In