WEKA PINGU
KAY_INTHIS_MUSIC
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
We ni nani? (Mi hustler) Unaenda wapi? (Naenda hustle) Na we ni nani? (Mi ni dj) Una enda wapi? (Naenda clubu) Na we ni nani? (Mi ni jemo) Unaenda wapi? (Way waya) We ni aaaaaaaaaaaaaaaah Weka pingu! Weka ndani! Weka pingu! Rusha ndani! Weka pingu! Weka ndani! Stupid! Weka kwa gari (aaaaaaaaaaaah) Weka pingu weka! Peleka Peleka peleka! Yote mbili weka! Peleka peleka peleka! Weka kwa gari weka! Peleka peleka peleka! Hii ni nyang'au weka! Peleka peleka peleka! Hii mi mwizi ya ngeta Na inatoka waya waya Hii ni mungiki ebu leta Na hii musichana ni malaya Ati anasema ako na lawyer Na hii ilikua kwa mifuko hii yote mbili ni marufuku ndo maana alikua ana jishuku We kijana ebu angalia chini Jinga apana kuanagalia mimi We musichana umevalia Minnie? Na hii mujinga ina lia nini? Tell me som'n Is it the same story inah your area Huku wana Pull up anywhere na ki kanjeria We ni nani? (Mi hustler) Unaenda wapi? (Naenda hustle) Na we ni nani? (Mi ni dj) Una enda wapi? (Naenda clubu) Na we ni nani? (Mi ni jemo) Unaenda wapi? (Way waya) We ni aaaaaaaaaaaaaaaah Weka pingu! Weka ndani! Weka pingu! Rusha ndani! Weka pingu! Weka ndani! Stupid! Weka kwa gari (aaaaaaaaaaaah) Pengine uchelewe mahali Mwingine ametoka safari Mwingine ame shikwa kwa Gate Akiwa ashafika kejani Ka supper na key za keja Mwingine alikua anaenda kesha Somebody Mark the date! Ju we lazima ulale ndani Pigianga watu nyumbani blander sana kwanza kama una natty Karao wa thika ni dirty cheki bana bado ni 10:30 Wana tu handaga everyday Kulala ndani bila evidence Huku hawanaga ku hesitate Tu holla nani labda president Weka pingu weka! Peleka Peleka peleka! Yote mbili weka! Peleka peleka peleka! Weka kwa gari weka! Peleka peleka peleka! Hii ni nyang'au weka! Peleka peleka peleka! We ni nani? (Mi hustler) Unaenda wapi? (Naenda hustle) Na we ni nani? (Mi ni dj) Una enda wapi? (Naenda clubu) Na we ni nani? (Mi ni jemo) Unaenda wapi? (Way waya) We ni aaaaaaaaaaaaaaaah
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"WEKA PINGU Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 14 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8043767/KAY_INTHIS_MUSIC/WEKA+PINGU>.
Discuss the WEKA PINGU Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In