Mazowea (feat. CPU & Cleysir)
Abdallaza
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Yeah Ah anha kompyura aka cpu mapozi ya juu Big f double o t Bigfoot production Producer baindo Mazowea huvunja heshima Hata kwa mtoto na mtuzima Sitaki mazowea yanaumiza moyo mazowea (ah) Sitaki mazowea yapoteza hadhi mazowea (ah) Sitaki mazowea yanavunja heshima mazowea (ah) Sitaki mazowea yanaumiza kicha mazowea (ah) Mazowea Yana tabu alivyo nieleza babu Nilipouliza swali wala hakunipa jibu Ikanibidi niende nikamueleze bibi Bibi akanipa jibu usiambiwe mazowea yatakusibu Ndipo akanipa story kua alimpenda sana babu Alipo safiri babu nyumbani alipata tabu Mingi yalimsibu haswa jua linapozama anabaki anashika tama Mawazo yanamuandama bari kwake ikajaa Mambo yakaenda mrama Jahazi la maziwa likazama ndipo foni alipo iona Ninacho maanisha unaependa mpende kwasana lakini mazowea hapana (huuh) Sitaki mazowea yanaumiza moyo mazowea (ah) Sitaki mazowea yapoteza hadhi mazowea (ah) Sitaki mazowea yanavunja heshima mazowea(ah) Sitaki mazowea yanaumiza kicha mazowea (ah) Safari Ya kileo ishafika wendazako nani atapika Kula wala sitoweza nami mawazi yanaumiza Mwenzako wa busara Unaenda wapi Me ntashindwa lala Moyo ushauteka Nikikumbuka mazowea (aahh mmmh) Nikikumbuka mazowea (aaahh mmmh) Wenda zako wapi Wenda zako wapi Umezoeshwa vibaya Bila wewe najiona fala Gari la upweke lishafika Hata nauli sitopewa Iiiiiih iiih iiih mazowea mazowea aaah Sitaki mazowea yanaumiza moyo mazowea (ah) Sitaki mazowea yapoteza hadhi mazowea (ah) Sitaki mazowea yanavunja heshima mazowea (ah) Sitaki mazowea yanaumiza kicha mazowea (ah) Vipi Clay Sir mbona uko down men Doh mtoto wangu kasepa kaniacha mpweke Mvutie waya babu (Samahani mteja wa nambari uliopiga hapatikani kwa sasa) oh shit Mazowea hayo babu Bahari imejaa Producer baindo Be Sure and I'm always be Clay Sir say hi to k town Connection Bigfoot production and all the fans and I'm always be To see perfection (mazowea) to the team to crew (mazowea aah) (Omari) (mazowea) I'm not say it (mazwea) Salwa (mazowea aah) Khadija (mazowea) K town (mazowea) It's time to sleep now (mazowea)
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Written by: Abdalla Chidyanga, Alfan Almasi
Lyrics © DistroKid
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Mazowea (feat. CPU & Cleysir) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 4 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/7899891/Abdallaza/Mazowea+%28feat.+CPU+%26+Cleysir%29>.
Discuss the Mazowea (feat. CPU & Cleysir) Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In