Sitaki Kwenda Mbali

Moza Christine

0 fans

Moza Christine


4:58
20 
#1

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Uwepo wako
Ni paradiso kwangu
Dakika moja karibu yako Yesu
Ni Faida ya milele

Oh Yesu wangu eeeee
Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu
Umenitoa mbali oooo
Oh umenitoa mbali Yesu

Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali oooo

Nakumbuka nilipo umia rohoni Baba
Uliganda vidonda vyangu nikaponaa
Nakumbuka nilipoachwa na wapendwa Babaaa
Ulipanguza machozi yangu Yesu eeee
Nguvu yako ni furaha kwangu Yesu
Uwepo wako ni amani kwangu uuuu
Ndio maana sitaki kwenda mbali eeee

Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuuu
Umenitoa mbali ooooo
umenitoa mbali Yesu

Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali oooo

Nitakaa kwa Miguu yako Yesu eee

Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu
Umenitoa mbali ooooo

Mambo ya dunia yanatisha Baba

Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali oooo
Jesus oooooo

Huuu Jesus, quand je pleure tu me console
Quand je me trompe, tu me corrige
Hoooo quand je trébuche tu me soutient
Oh quand je ne peux plus marché
Jesus tu me Porte dans tes bras oooooo

Ma vie Seigneur sans toi, ça n'a pas de sens

Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali ooooo

Umenitoa mbali Yesu

Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali ooooo

Umenitoa mbali Ebenezer

Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali

Sitaki kwenda mbali nawe mbali nawe

Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali ooooo

Petro alimujibu Yesu uuu
Nikuache Yesu niende kwa Nani mwenzenu miye
Kwako tu kuna raha ya maisha
Kwako tu kuna faraja yeeeee
Kwako tu kuna ufufuko
Kwako tu kuna salama oh Yesu Yesu Yesu Yesu
kwako tu kuna yote eeee

Huu Yesu ni wewe Amani yangu

Bendera ya ushindi Nissi huu
Yesu ni wewe Ushindi wangu uuu
Amani na salama Yesu eee
Yesu ni wewe raha yangu
Ninapokuwa na Swali Yesu ni jibu yangu ooooo
Yesu ni wewe Jibu yangu huu
Amani ya maisha Yesu weee
Yesu ni wewe Amani yangu
Ushindi ya maisha najivunia yooooo
Yesu ni wewe ushindi wangu
Raha raha raha Yesu weee
Yesu ni wewe raha yangu huu
Jibu yangu Jibu ya kila siku Yesu

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Kandole Bahemuka

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Sitaki Kwenda Mbali Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Sitaki Kwenda Mbali Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 16 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/6901939/Moza+Christine/Sitaki+Kwenda+Mbali>.

    Missing lyrics by Moza Christine?

    Know any other songs by Moza Christine? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Sitaki Kwenda Mbali

    12,209
    58     0

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Which European synth-pop band released “Take On Me”?
    A Depeche Mode
    B Camouflage
    C A-ha
    D Duran Duran

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Moza Christine tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!