Makiki

Gifted Queens

0 fans

Gifted Queens


4:05
#2

 Struggling with Makiki? Become a better singer in 30 days with these videos!

Si ni wale hubambisha
Si ni wale hushikisha
Si ni wale hupandishaga mzuka
Watiaji wakishukisha
Si ni wale hubambisha
Si ni wale hushikisha
Si ni wale hupandishaga mzuka
Watiaji wakishukisha
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Hawana content
Hawawezi bambisha
What the hell
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Wakishusha one time
Hawawezi simamisha
What a shame
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Hawana content
Hawawezi bambisha
What the hell
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Wakishusha one time
Hawawezi simamisha
What a shame
Tunataka mbo mbo
Mbogi inabambisha
Mbogi inashikisha
Mbogi ata bila lighter
Tunajua itawakisha
Mbo mbo
Mbogi inabambisha
Mbogi inashikisha
Mbogi ata bila lighter
Tunajua itawakisha
Mbogi iko na vipaji
Paji ya kusaka ganji
Ganji ya kukata maji
Maji maji mwaga ndani
Maji maji kama nani
Ka ni maji toka ndani
Kata maji na majani
Maji tamu kama honey
Honey honey eeey
Si ni wale hubambisha
Si ni wale hushikisha
Si ni wale hupandishaga mzuka
Watiaji wakishukisha
Si ni wale hubambisha
Si ni wale hushikisha
Si ni wale hupandishaga mzuka
Watiaji wakishukisha
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Hawana content
Hawawezi bambisha
What the hell
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Wakishusha one time
Hawawezi simamisha
What a shame
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Hawana content
Hawawezi bambisha
What the hell
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Wakishusha one time
Hawawezi simamisha
What a shame
Wanataka kumaliza wakiendega
Wanakula kuku na kifaranga
Wanatoa kutu kunoa panga
Wameleta juju hao ni waganga
Wanataka kumaliza kile tulianzishaga
Hawawezi endesha hao ni makanga
Kuwaelewesha hao ni madanda
Kuwalewesha wape cha
Ng'a ng'a ng'a ng'a
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Hawana content
Hawawezi bambisha
What the hell
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Wakishusha one time
Hawawezi simamisha
What a shame
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Hawana content
Hawawezi bambisha
What the hell
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Wakishusha one time
Hawawezi simamisha
What a shame
Si ni wale hubambisha
Si ni wale hushikisha
Si ni wale hupandishaga mzuka
Watiaji wakishukisha
Si ni wale hubambisha
Si ni wale hushikisha
Si ni wale hupandishaga mzuka
Watiaji wakishukisha
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Zao ni makiki
Kiki kiki makiki
Wakishusha one time
Hawawezi simamisha
What a shame

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Festus mwenda

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Makiki Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Makiki Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 8 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/6543385/Gifted+Queens/Makiki>.

    Missing lyrics by Gifted Queens?

    Know any other songs by Gifted Queens? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Makiki

    9,200
    343     7

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    REM: “I thought that I heard you laughing. I thought that I heard you sing. I think I thought I saw you ____”.
    A cry
    B lie
    C fly
    D try

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Gifted Queens tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!