Slay King (Vitu Sipendi)
DVK
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Ehen, DVK Black Hole This one's for all my slay kings doing their thing out here in Nairobi, man Watu wa kuchukua Uber na si Umoinner Watu wa kudishi Kempinski, not kibandaski Ayy Nganya, wezi Panya, deni Hizo ndio vitu sipendi Piga, densi Sitaki penzi, shenzi Hizo ndio vitu sipendi Mi na ma-bro tuko rieng, tuko ma-drinks na mayeng Kuna mmoja ameninoki, anadai mjulubeng Lakini mi niko hungry, mi nasaka tu msosi Options ni mchezo, kumbe Kevo si mdosi Ati migingo na teargas, hizo ni nini Leta maharagwe na pasta, na soda mbili Juzi niliona dem akidarwa, huko jijini Wanashangaa ati nani ananyamba? Buda si mimi Nganya, wezi Panya, deni Hizo ndio vitu sipendi Piga, densi Sitaki penzi, shenzi Hizo ndio vitu sipendi Ni wikendi Tunaenda party Kila mtu ako barley Shawty Leta nare Washa ngem hapo ndani DVK Flows kibao, lazima Hizi line nizi-ration Wekwa chobo Pigwa bare kama Rachel Rachel, Rachel (Ehen) Nganya, wezi Panya, deni Hizo ndio vitu sipendi Piga, densi Sitaki penzi, shenzi Hizo ndio vitu sipendi Black Hole
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Slay King (Vitu Sipendi) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 15 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/5531827/DVK/Slay+King+%28Vitu+Sipendi%29>.
Discuss the Slay King (Vitu Sipendi) Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In