Bado Sana (feat. Diamond Platnumz & Lava Lava)

Mrkiddo

0 fans

Mrkiddo


2:52
102 
#2

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Bado, bado sana Bado, bado sana Bado, bado sana Bado, bado sana
Ngoja kwanza nidange dange
Mambo ya kuwa na mpenzi Bado sana
Nimezoea kwa mpalange
Eti unipeleka mbezi Bado sana
Kutega unatega ila kupata masponsor
Bado sana tatizo nje shega
Ila ndani kujiosha bado sana
We ngwesa wa kukaya hebu kuwa na haya bado sana
Tuli kutoa sigimbi leo una jiona wa ulaya
Ka mnasepa sepeni mi kurudi nyumbani bado sana
Ka mnakesha kesheni
Tingiza ka imeisha
Bado sana bado bado sana
Bado bado sana
Nauliza mmechoka Mmmechoka
Bado bado sana
Wanangu mmechoka Mmmechoka
Bado bado sana
Aii hako kamacho matatu usijione bosi bado sana
Ukajishebedua kutuletea mapozi bado sana
Kwa vipya vitatu ndo eti uningoe bado sana
Niache kula bata eti simba uoe bado sana
Wanasubiria bado dangote kufulia bado sana
Vinyimbo wataimba ila we kunifikia bado sana
Ati kisa kigari ndo hawatusalimii
Achaaaa ndio maana dem wake wanamnanii aaiyayayaya
Mjomba chumali kachinja mangombe
Yaani zidi kwa kiti acha bwana
Cha ajabu kazidi ubonge ila kwenye mziki bado sana
Ka mnasepa sepeni mi kurudi nyumbani bado sana
Bado bado sana bado
Bado sana nauliza mmechoka
Bado mmechoka bado sana
Wanangu mmechoka bado mmechoka
Haya tumpeleke msobe msobe wanangu msobe msobe
Tumpeleke msobe msobe Aah
Msobe msobe eeh kushoto msobe msobe
Kulia msobe msobe twende kwa mbele msobe msobe
Aiii kwa nyuma wanangu nawarudisha utotoni
Wapi kule utotoni wapi niwapeleke utotoni
Wapi kule utotoni wapi sa twende
Yesa yesa yesa yesa yeee
Yesa tena Yesa yesa yesa yesa yeee
Bado kidogo Yesa yesa yesa yesa yee
Aah ya mwisho Yesa yesa yesa yesa yee
Kamix Lizer

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: Mr Kiddo

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Bado Sana (feat. Diamond Platnumz & Lava Lava) Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Bado Sana (feat. Diamond Platnumz & Lava Lava) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 8 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/5505342/Mrkiddo/Bado+Sana+%28feat.+Diamond+Platnumz+%26+Lava+Lava%29>.

    Missing lyrics by Mrkiddo?

    Know any other songs by Mrkiddo? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "Some nights I stay up, cashing in my bad luck, Some nights, I call it a ______."
    A draw
    B loss
    C flaw
    D win

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Mrkiddo tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!