Piga 10

Asum Garvey

0 fans

Asum Garvey


2:42
15 
#1

 Struggling with Piga 10? Become a better singer in 30 days with these videos!

Utanipiga ten
Mi nalipisha zangu na mathao
Ukiplay hii tao utabambwa na karao
For now
Weh cheza chini chini wadharau
Usiwai doze ten ama tena watatense
Utanipiga ten,
Mi nalipisha zangu na mathao
Ukiplay hii tao utabambwa na karao
For now
Weh cheza chini chini wadharau
Usiwai doze ten ama tena watatense
In the end hizo ten nilizikeep kwa bed nisiwai doze best nisha invest kwa next
Nivibe hapa yenks ama nitext kwa notes
Nafanya zote both ndio anafucks na song
Cologne ni the aura i breathe nikitoa
Asiwai miss me angalau nitapoa
Natohoa Weh oa kunidiss utang'oa
Till death do you part nakuua but slower,
Nina noah two by two utatokwa
Ulithink mko two times two train proper
Ata hoppa ilidai no more from Kora
That bih
Juu weh ulistick alitoka
Dont bother ona kona do drifts akitoka
Usiwai stay jam ruka ka mat za ronga
Nikijibeat napona nikijiseek nanona
Bila deep heat nagonga hadi ninety ntasonga
Utanipiga ten,
Mi nalipisha zangu na mathao
Ukiplay hii tao utabambwa na karao
For now
Weh cheza chini chini wadharau
Usiwai doze ten ama tena watatense
Utanipiga ten,
Mi nalipisha zangu na mathao
Ukiplay hii tao utabambwa na karao
For now
Weh cheza chini chini wadharau
Usiwai doze ten ama tena watatense
Nipige ten
Niintend these things naguess
Nimetense
Na bado my instincts ni mess
Nina less
Kusema i just do what i felt
Ndio maana nawika ka kamagesh
Jaza mat nitoke adondoke
I don't f* with this nigg* atoke
I'm talking to this fine girl hapa im hoping
Anacopy nadai kusneak hapo kwa optics
Ni open her mind up wide hapo kwa golden
Devine
Sound za lion hii ni fine
Sina time kuchocha kwa bio so hi
You fine and i like your style can you be mine
For a while
Najua tutaboeka in time
Bila lie ikidai mi nasonga sikinai
I don't force that line ikibamba itadai
Who am i to deny what is designed to bite
Niko smite ka smitten hizo standards ni beaten
Utanipiga ten
Mi nalipisha zangu na mathao
Ukiplay hii tao utabambwa na karao
For now
Weh cheza chini chini wadharau
Usiwai doze ten ama tena watatense
Utanipiga ten
Mi nalipisha zangu na mathao
Ukiplay hii tao utabambwa na karao
For now
Weh cheza chini chini wadharau
Usiwai doze ten ama tena watatense

 Struggling with Piga 10? Become a better singer in 30 days with these videos!

Written by: Malcolm Mutiso

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Piga 10 Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Piga 10 Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 30 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/5391623/Asum+Garvey/Piga+10>.

    Missing lyrics by Asum Garvey?

    Know any other songs by Asum Garvey? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Piga 10

    8,998
    490     1

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Rockstar David Howell Evans is better known by what name?
    A The Purge
    B The Edge
    C The Verge
    D The Serge

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Asum Garvey tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!