Uko Mbali
Meltus Method
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Umbali kamwe hauwezi tenganisha Nyoyo mbili zinazopendanaa Uko mbaliiii Natumaini tutaonanaa Kama milele kuna kesho Ambayo hatutakuwaa pamojaa Daima kumbuka wewe ni shujaaa Shujaaaaaaa Nikifunga macho naona mboni zako Hata nikilala ndoto ni zako Ni wewe tuuu Ni weweeeee Ni wewe tuuuuu Weeeeieeeeeeeeeieeeeeeiiii Nasema nakupenda nasema nakupenda wewe Milele nitakupenda milele nitakupenda wewe Nasema nakupenda nasema nakupenda wewe Milele nitakupenda milele nitakupenda wewe Napenda navyohisi hata ukiwa mbali namiiii Umbali umenipa sababu ya kukupenda zaidi eiyeee Kuwa karibu nawe ni kitu ninachotamaniii Haijalishi uko wapi mimi ni wako Nakumbukaaa unavyochekaaaa Kwenye midundo unavyochezaaaa Sijachoka kusubiri bali nimechoka kuamka bila uzuri wa macho yako Natumaini utarudi karibuni uongeze tabasamu languuuuu Nasema nakupenda nasema nakupenda wewe Milele nitakupenda milele nitakupenda wewe Nasema nakupenda nasema nakupenda wewe Milele nitakupenda milele nitakupenda wewe Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko mbali Uko
Struggling with Uko Mbali? Become a better singer in 30 days with these videos!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Uko Mbali Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 22 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/4521308/Meltus+Method/Uko+Mbali>.
Discuss the Uko Mbali Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In