Amka East Africa
Fresh Jumbe
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
East Africa wake up! wake up! wake up! Amka simama Afrika mashariki - Umoja ni nguvu Amka simama wakati ni huu - Hakuna kulala Amka - Wake up - simama - Stand up - Afrika mashariki - Umoja ni nguvu Amka simama wakati ni huu - Hakuna kulala Amka simama Afrika mashariki - Afrika mashariki Amka simama wakati ni huu - Stand up Kama ni majani tumeshayang'oa ya ya yah Sasa uwanja unahitaji kufagiliwa Kama ni wali umeshapakuliwa yoh yoh yoh Kinachofatia sasa ni kuliwa Kama ni mlango umeshafunguliwa uko wazi sasa sisi ni kuingia Hakuna sababu ya kutuzuwia ni kwa nini tusiendelee Afrika mashariki Amka simama Afrika mashariki - Rwanda Burundi Amka simama wakati ni huu - Kenya na Uganda Amka simama Afrika mashariki - Tanzania Amka simama - Get up come on - wakati ni huu - Let's go! JP Sensey Mubaya wa wabaya wa wabaya piga kwanza guitar No visa no Passport Afrika mashariki No ubaguzi no kupendeleana Afrika mashariki No uvivu no blaa blaa tufanye kazi Tushirikiane kwa pamoja tujenge nchi zetu Afrika mashariki umoja ni nguvu Amka simama Afrika mashariki - oh ya ya yah Amka simama wakati ni huu - Wake up Stand up! Amka simama Afrika mashariki - Umoja ni nguvu Amka simama - Come on let's do it - wakati ni huu Come on Mmmh Mti mkavu Fresh Jumbe Mkuu Waziri Kungugu Kitanda Milima Kazi kazi ni kazi tu Hakuna kulala Come on Amka - Wake up - simama - Stand up Ah - Afrika mashariki - Umoja ni nguvu Amka - Get up - simama - Stand up Ah - wakati ni huu - Hakuna kulala Amka - Get up - simama Afrika mashariki - Umoja ni nguvu Amka simama Wakati ni huu Get up East Africa wake up! wake up! wake up!
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Amka East Africa Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 1 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/3596256/Fresh+Jumbe/Amka+East+Africa>.
Discuss the Amka East Africa Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In