Gimadho Njagah
ROOKACE GANG 254
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
We madho njaga boy kijana ni mimi kusema,(Tizaa!) Gimadho njaga na bado miistariii ni ngumu kutema,(tema) We madho njaga ni riba na mbesha hakuna kuteta,( ahhh Gimadho Njaga namada juu hapa ni jina najuanga, (whooo!) Marapper wanakuja na njaga zabe wapate na njoto na jaba (..shshshsh) Story ni zile za shada,pongi punyeto na riba za murder (...say what?) Madome sipendi makata chocha za njaga peleka Uganda Mistari naleta visawa ganji napata kwa wingi ka kawa (...prrrrrrrrrh!!!) Na luku napiga za octo bado nataka niball ka roro (...roro) Maphoto ntapiga goro costo nizoze nitoke na bobo (....aaaaaghhhh!!!) Niparty na Tiza na kongo alafu tutoke madiva malocal (...prrrrrrrrh!!!) Ambia vijana wakome (...uuuuuuh!!) Punguza mashada na pombe (...pombe!) Na kila mboka wananapiga Lazima wachome kimoja (...wuuuuuh!!) Nitapiga collabo na roller (...roller!!) Ju yeye huchoma ka roastam (..shshshs) Siogopi kusema ni mimi ndo pedi wa njaga kayole mathare na dago Sitaki panganga ju kama ni ngori nataja kabombiah na Kargo (...prrrrrrh yeaaaah) Kuchana mistari ni mboka na ganji napata nishike moghonda ruracio (...eiy eiy eiy) Mwalimu ni mimi nafunza marapper kuchana ju mimi ni gagon...(uuuh uuuh) Njaga nachoma lakini sitaki ufala ya media kujua ni mimi khalifa Na mbogi ni mbaya ni Tiza Madome tadhani vigeti na Esir (...Esir!!!) We madho njaga boy kijana ni mimi kusema,(Tizaa!) Gimadho njaga na bado miistariii ni ngumu kutema,(tema) We madho njaga ni riba na mbesha hakuna kuteta,( ahhh Gimadho Njaga namada juu hapa ni jina najuanga, (whooo!) Na kama ni rap siwachi lazima nijenge maploti na jina, (jina) Nimechoka kumadho madiva na kama inaweza nicheze Afrimma,(prrrr Jiulize kwa nini sinanga haraka ya kutaka kutema kilami,(lamii) Na mbona sipendii izi jaba na njaga na mbona sipendii mabanii,(whooo!) Kiburi imenipa motisha na ego imefanya sinanga madeni,(deni) Mabani wanipee heshima ju vile nataka kumada ni kesi,(eeii!) Na chedda nitasaka kabisa na kitu sitaki maishanii ni hepi,(hepiii) Kuomoka ndo kitu nangoja na pia nicheze kwa telly videadly,(oyaaa!) Soko ni kama kanisa marapoer ni wengi na mimi ndo father,(njaga! njaga!) Kila bar ni natema ni nzito ndo kitu inafanya natesa mjini, Amadho manyako kwa wingi na chedda ninazo shetanii wa nini? Gimadho njaga, wachina wapuzi.
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Written by: Kevin Otieno, Mike Madome
Lyrics © Dapstrem Entertainment LLC, Dapstrem Entertainment
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Gimadho Njagah Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 23 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/3455367/ROOKACE+GANG+254/Gimadho+Njagah>.
Discuss the Gimadho Njagah Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In