Anicca

Elsaphan Njora, Rushab Nandha, Sens_ei

0 fans

Elsaphan Njora


3:47
#1

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Vijiji vitongoji 
Nimekuja nimevaa tu ka koti
Nikohapa ninasaka tu ka noti
Na si mindy mindy kuwa naughty

Atoti stunya 

Jaza kalabash tuko bash
Murats murats na ka nyama mmm
Ju leo Anicca anacome through
Bahati ni yangu hadi round two

Toto si toto
Winner of lotto
You make me go loco
Come get your cocoa

Nakumbuka nikikua na Anicca tukifua 
Choma choma tu kifua 
Weka nguo juu kwa jua  
Tukibonga juu ya maisha 
Madakika zinaisha  
Na me nataka kuwa na wewe 
Nilewe na mapenzi yako 
Niseme ni wewe umenitoa shimoni 
Sioni vile naishi bila kuwa pamoja 
Hizo siku za ka movie na ka pizza
Tukienda kitandani ni ka tuko Ukambani kuna visa na miujiza 
Ukipeperuka juu chini na kunyonya mpaka ninaisha 
Vile you skinny nakuonya unanitisha na nguvu zimeniisha 
Na bado unaleta moto hadi ndoto zetu zinaganda ki photo
Ni msoto inayonizuia nia na pia kidogo fear 
Ni njia ndio mie sina 
Ama ningekuweka mtoto

Nimekuja nimevaa tu ka koti
Nikohapa tunasaka tu ka noti
Na si mindy mindy kuwa naughty

Vijiji vitongoji 
Nimekuja nimevaa tu ka koti
Nikohapa ninasaka tu ka noti
Na si mindy mindy kuwa naughty

Atoti stunya 

Jaza kalabash tuko bash
Murats murats na ka nyama mmmh
Ju leo Annika anacome through
Bahati ni yangu hadi round two

Toto si toto
Winner of lotto
You make me go loco
Come get your cocoa

Atoti stunya atoti

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: RUSHAB ANIL NANDHA

Lyrics © Downtown Music Publishing

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Anicca Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Anicca Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 17 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/2136964/Elsaphan+Njora/Anicca>.

    Missing lyrics by Elsaphan Njora?

    Know any other songs by Elsaphan Njora? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Anicca

    39
    0     1

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    What is the opening line to Queen's song 'Bohemian Rhapsody'?
    A Is this the real time?
    B Is this the real deal?
    C Is this the real life?
    D Is this the real love?

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Elsaphan Njora tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!