Dawa

L3xx

0 fans

L3xx


3:14
21 
#1

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Nangoja ile day Maisha itagawa juu
Dem amekam anadai madawa
Nangoja ile day Maisha itagawa juu
Dem amekam anadai za kawa

Mabawa (Mabawa) Madawa 
Ni mabawa (Ni mabawa) Ni madawa
Ni mabawa

Kama sickle cell anaemia mimi thitima 
Wewe itina I'm a rapping killer
Wee ni rap beginner, your girl, my dinner
Show me respect if you expect to be respected
Never inspected, always suspected, injected to the gang 
Find me in the ring-ring, never disputed, underrated and
I'm back! Back to the track 
Back to the back like pack 
Back to the ring
Back to the pot like jack
Baby girl arch that back, ha! Hoo
I gain and I gain and again and I gain
Back to the gain because I came from the pain 
Came in wet because I came from the rain 
Came in fly because I can't maintain
Mabawa
Hakuna msee anaweza kunitisha (Madawa ni mabawa)
Na hii Maisha ni lazima itaisha (Ni madawa, Ni mabawa)
So kile unadai, leo itisha (Ni madawa, Nipe bawa)
Sauti kaniambia, nipe bawa, nipe dawa

I came up from the ghetto where niggas had no metal 
So ka ni mengo fists zinaland heavy metal 
Na ka ni meno inaenda huko mbali kando 
Nakahudai mengo, kuja na mpango
Hii ni life joh, ukikam kuwa angle juu life inadai kuwatoa kwa mpango
Lakini ka huwezi, Wee! Kwama na mamako 
Juu life si ya nyanyako, life si ya babako 
Maisha ni msako, life ni mlima
Life is a flip gonn' cut you back
Life is a b” and the ass is flat 
Life ain't sweet, that's a fact 

Dame amekam anadai kugawa 
But first mi nadai nikue madawa 
Nipate mabawa niskie sawa
This's how I do it, men, kama kawa
 
Mabawa
Hakuna msee anaweza kunitisha (Madawa ni mabawa)
Na hii Maisha ni lazima itaisha (Ni madawa, Ni mabawa)
So kile unadai, leo itisha (Ni madawa, Nipe bawa)
Sauti kaniambia- Nipe bawa, nipe dawa

Welcome to measure your height, weight, welcome
Madawa, ni mabawa, ni madawa, ni mabawa
Nangoja ile day Maisha itagawa juu (Ni madawa, nipe bawa) dem amekam anadai madawa
Nangoja ile day Maisha itagawa juu (Nipe bawa, nipe dawa) dem amekam anadai za kawa 

Hakuna msee anaweza kunitisha, Madawa ni mabawa
Na hii Maisha ni lazima itaisha (Ni madawa, Ni mabawa)
So kile unadai, leo itisha (Ni madawa, Nipe bawa)
Sauti kaniambia, nipe bawa, nipe dawa

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Alex N. Kamande, Brian A. Galo

Lyrics © MASTERED AND DAPPER ROYAL ENTERTAINMENT

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Dawa Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Dawa Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 17 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/1813801/L3xx/Dawa>.

    Missing lyrics by L3xx?

    Know any other songs by L3xx? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Dawa

    7
    0     0

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "I found out the hard way. I can't do without you. I'll always be with you."
    A Harry Nilsson - Without You
    B Mocca - Simple I Love You
    C Chris Christian - I Want You, I Need You
    D U2 - With or Without You

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    L3xx tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!