WASHA WASHA

MigoMigo

0 fans

MigoMigo


2:42

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Migoo
Top on the hood
Lazima nikiamka asubuhi nisali
Eh mungu naomba niepushe na dhoruba napokwenda ni mbali wakati wanafanya Mabaya to me mwenzao nasaka salary
Kwangu usingizi hasara mchana usiku uwa silali

Ey
Me ndo Mdudu washa washa ukizima naku connect nawasha data sina mapepe na pesa mana Najua kusaka
Kama muoga usiende na mimi nitakutoa sadaka

Jasho langu nikipata halichoshi natumia na kina brand el Sadaat nyoshi
Uuh
namuomba mungu tena napiga magoti Migo Migo mabegani na run kama niko jozi

Me ndo Mdudu washa washa
Washa washa washa Ey
Me ndo Mdudu washa washa
Washa washa washa wee

Mdudu me na washa washa washa
Hanajikuna Kwa ukuta unamuwasha  washa washa
Bado ujasema nasimamia ukucha
Me nakuwasha washa washa
Hakuna kulala mbaka kunakucha
Mwendo wa kuwasha washa washa

Check wanajikuna nimewapaka upupu
Bass linavo gonga Kwa tumbo nawapa njaa siwapi supu ugali na chukucuku
Nawapelekea moto ma hater's Kwa roho mbaya sitoi hata Mia buku

Jasho langu nikipata halichoshi natumia na kina brand el Sadaat nyoshi namuomba mungu tena napiga magoti Migo Migo mabegani na run kama niko jozi

Me ndo Mdudu washa washa
Washa washa washa Ey
Me ndo Mdudu washa washa
Washa washa washa wee 

Migo Migo ma hood
Aah washa
Paw

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Written by: Peter Ngamesha

Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the WASHA WASHA Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "WASHA WASHA Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 4 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/14383610/MigoMigo/WASHA+WASHA>.

    Missing lyrics by MigoMigo?

    Know any other songs by MigoMigo? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Tony Lewis is more known as a member of which band?
    A Alphaville
    B Dexys Midnight Runners
    C King
    D The Outfield

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    MigoMigo tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!