FURAHI NAYE
JEMMIMAH THIONG'O
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Jirani yako amenunua shamba Kajenga nyumba tena la kifahari Gari aendeshalo ni kubwa ndugu Moyo wako wapandwa na hasira Badala ya wewe ufurahi naye Maana jirani amebarikiwa Magonjwa yaanza kukushika wewe Ajili ya hasira uliyo nayo Hata kama utakasirika Hata kama utajiua ndugu Mungu ameamua kumbariki Afadhali ufurahi naye Afadhali ufurahi naye Huyo jirani aliyebarikiwa Maana hata ukikasirika Mungu ameamua kumbariki Afadhali ufurahi naye Huyo jirani aliyebarikiwa Maana hata ukikasirika Mungu ameamua kumbariki Mtoto wa jirani kapata shahada Karamuni waalikwa wee huendi Umeamua kushinda chumbani ukilia Ukimuuliza Mungu maswali Lakini jambo moja nakwambia Ulie usilie dada yangu Shahada mtoto Mungu kampa Afadhali ufurahi nao Una wana waombea dua Wataka nao wafaulu Wako watafauluje dada Na wengine wee waumwa na chuki Afadhali ufurahi naye Huyo jirani aliyebarikiwa Maana hata ukikasirika Mungu ameamua kumbariki Afadhali ufurahi naye Huyo jirani aliyebarikiwa Maana hata ukikasirika Mungu ameamua kumbariki Hasira ulonayo ndugu dada Hayo ni mazao ya wivu na chuki Hebu omba upendo wa Mungu Uweze kufurahi na walobarikiwa Wataraji aje dada yangu Mungu aweze kukubariki Nawe hutaki kufurahi Na wale Mungu aliyewabariki Afadhali ufurahi nao Afadhali sherehekea nao Maana hata ukikasirika Mungu ameamua kuwabariki Afadhali ufurahi naye Huyo jirani aliyebarikiwa Maana hata ukikasirika Mungu ameamua kumbariki Afadhali ufurahi naye Huyo jirani aliyebarikiwa Maana hata ukikasirika Mungu ameamua kumbariki Afadhali ufurahi naye Huyo jirani aliyebarikiwa Maana hata ukikasirika Mungu ameamua kumbariki Afadhali ufurahi naye Huyo jirani aliyebarikiwa Maana hata ukikasirika Mungu ameamua kumbariki Afadhali ufurahi naye Huyo jirani aliyebarikiwa Maana hata ukikasirika Mungu ameamua kumbariki Afadhali ufurahi naye Huyo jirani aliyebarikiwa Maana hata ukikasirika Mungu ameamua kumbariki
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Written by: JEMIMAH W THIONGO, JEMIMAH WATIRI THIONGO
Lyrics © O/B/O DistroKid
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"FURAHI NAYE Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 27 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/14254061/JEMMIMAH+THIONG%27O/FURAHI+NAYE>.
Discuss the FURAHI NAYE Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In