BAD
Maneshi Paycash
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Naki nukisha navo taka Nani ana bisha na mtaka Hearts nikks wana chaka Hii ni fimbo nawachapa Bado nipo bado nipo Ni mishiko mishiko Sio ujiko mi ni mwekoo Hawa taki kuniona hawataki kunioni Mindo copy waki fake Mi siogopi waki beti Mindo cheki wape chenchi Kuna x mi na deart Ukivunga tuna caros Mishono tuna shona kapozi 255 bongo ni michapo Sio uongo tuna gawa manakozi Vina vikali tuna walisha Sumu kali ndo napika Usione hatali kusikika Tuna swaga tuna mwagika Waki chana tuna chanika Vya kufanya vina fanyika Ukoopesa kama chata Lita baki ku sikikaaa 40gang umiza ndonga sio ulongo 40gang bongo ni michongo No game no play Hawana muda wa kusubiil Mi na sogeaa God Man no fear niki waza hela nazi sotea Na ficha walio baki waki waki awa oni mbele wame potea Ma rockstar tuna roll na ma coca star Wakipinda tuna nyosha Kama tume dondoka bongo ni msongo wa mawazo Hata kamaa niki waza waza waza Huwezi waza kila nacho waza basi ni mawazo Si una vunga vunga na gunua la mcheke sio mpunga Tuna hesabu kila siku dow nawa chumba Hi bro slow more usije leta zaki nunda nita kudunda Wana jisachi mbaka mifunko ina toboka Mistari mbaka mbaka wana dondoka Tupo masaki kila siku tuna sokota Hizi number azi kama tani Kama una zani matani Naaaa zika matani
Struggling with BAD? Become a better singer in 30 days with these videos!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"BAD Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 6 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/14190012/Maneshi+Paycash/BAD>.
Discuss the BAD Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In