Macho

Kulukulu

0 fans

Kulukulu


3:14

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Yeeei
Eeehh
ooohh e e e
Mara ya kwanza mi kukuona mpenzi uso wako wee
Nilishikwa na butwaa nikahisi ghafla niwe nawe
Uje unikidhi moyo ndani ya maisha niwe nawe
Mwili nao unahisi joto njoo unipoze mwenzio
Hata japo dakika mbili mpenzi unitegee masikio
Pale tangu nilipokuona moyo unanienda mbio
Hisia zangu kamata
Amini kwako nishadata
Usihofu we kunipata ndiyo hata macho yanajieleza girl

Macho yangu
Macho yangu
Yanapokutazama we Yanapokutazama
Na hisia zangu
Hisia zangu
Ni juu ya pendo lako we
Ni juu ya pendo lako
Basi nielewe maisha yangu ndio ya kwako we
Na daima nitakupenda mimi sitokwacha wewe.
Macho yangu.
Yanapokutazama we
Yanapokutazama

Eti girl utanipenda au utaniacha mi
Kwani mwanzo nilishasema maisha yote we nami
Nikae najipa moyo siku zote maishani
Japo penzi ni upofu usije niacha njiani
Basi mapema niambie we kama utanitema
Kabla hisia zangu kwako girl mi kuegema
Na kama unavyoelewa nakupenda sana we
Ukiniacha utanifanya nipagawe

Macho yangu
Macho yangu
Yanapokutazama we Yanapokutazama
Na hisia zangu
Hisia zangu
Ni juu ya pendo lako we
Ni juu ya pendo lako
Basi nielewe maisha yangu ndio ya kwako we Wewe
Na daima nitakupenda mimi sitokwacha wewe.
Macho yangu.
Yanapokutazama we
Yanapokutazama

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Written by: Hakim Kulukulu

Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Macho Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Macho Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 17 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/14187123/Kulukulu/Macho>.

    Missing lyrics by Kulukulu?

    Know any other songs by Kulukulu? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    “I’m gonna live like tomorrow doesn’t exist, like it doesn’t exist.”
    A Swing
    B Chandelier
    C Who knows?
    D 20 4K Magic

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Kulukulu tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!