Haunimezei

Mzuka Mob

0 fans

Mzuka Mob


3:14

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Yoh mzuka
Ni una say

Nini una say
Haunimezei
Nini una say
Haunimezei
Kama hainilipi
Kama hairudishi
Basi ni story ina udhi
Kama hainilipi
Kama hairudishi
Basi ni story ina udhi

Nini una say
Haunimezei
Nini una say
Haunimezei
Kama hainilipi
Kama hairudishi
Basi ni story ina udhi
Kama hainilipi
Kama hairudishi
Basi ni story ina udhi

I keep 100 nikirauka
100 press ups 100 Sit ups
We been on grind
Pale you tube unaweza recap
Mkini try reaction ghafla knee cap
I stay fly wakinicheki wana pata hicups
Tunawa drill tuki trap
Don corleone ka ni rap
Usitake kuona niki snap
Msupa Pewa mbili snap
We ni mpishi hii super yako ina slap
Aah aah been the illest
Hamnifeel iyo ni cap
Rock them snap backs
Back in dem days
Mad bitches on my timeline
Sijawai ogopa sijawai guaya aah
Hamnitishi hamnibabaishi

Nini una say
Haunimezei
Nini una say
Haunimezei
Kama hainilipi
Kama hairudishi
Basi ni story ina udhi
Kama hainilipi
Kama hairudishi
Basi ni story ina udhi

Nini una say
Haunimezei
Nini una say
Haunimezei
Kama hainilipi
kama hairudishi
Basi ni story ina udhi
Kama hainilipi
Kama hairudishi
Basi ni story ina udhi

I got balls nimejaza fudhi
Story yako ina udhi i say
Am bad to bone
Umo born and raised
Nko baze ka woofer
Fresh and clean
I got dreams designer nightmares
No fear machete ya grim reaper
Namaste mi ndo senseh
Master rapper casey jones
Krang na shredder
Ka river nakuanga na flow
Mzuka  flames  jr nilianza ka dreamer

Nini una say
Haunimezei
Nini una say
Haunimezei
Kama hainilipi
Kama hairudishi
Basi ni story ina udhi
Kama hainilipi
Kama hairudishi
Basi ni story ina udhi

Mi huwa filter ka kichungi
Flow strong ka turungi
Flames aka vumbi
Mzuka mob kikundi
Nacheki unabonga
Nini unasema
Ka si biz unashema
Io mate mbaya tema
Early bird ni mapema
Slay queen ananidai
Hawezi pata date
Ata ameze calendar
Ata ni chimba aje
Mi nikidai kujijenga
Anadai chase
Mi ni money making agenda

Nini una say
Haunimezei
Nini una say
Haunimezei
Kama hainilipi
kama hairudishi
Basi ni story ina udhi
Kama hainilipi
Kama hairudishi
Basi ni story ina udhi

Nini una say
Haunimezei
Nini una say
Haunimezei
Kama hainilipi
Kama hairudishi
Basi ni story ina udhi
Kama hainilipi
Kama hairudishi
Basi ni story ina udhi

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Daniel otembo, Gideon murithi, charles boy

Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Haunimezei Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Haunimezei Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 21 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/14092026/Mzuka+Mob/Haunimezei>.

    Missing lyrics by Mzuka Mob?

    Know any other songs by Mzuka Mob? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Who's the American singer behind the 1978 disco hit "I Will Survive"?
    A Donna Summer
    B Gloria Gaynor
    C Gwen McCrae
    D Amii Stewart

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Mzuka Mob tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!