Twenty Twenty Four

Kos Goliath

0 fans

Kos Goliath


2:33

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Twenty Twenty Four Lyrics

Yeah! We doing this
We try to murder 'em

2024 (Yes), karibu sana (thanks)
Sijajua tabia zako ila karibu mwana
Usiwe kama, mchizi mwaka jana 
Japo alíingia vibaya ila ameniacha salama
Kidogo amenipa kile nilicho hustle for
Kama paper sio Zero mwamba nimelamba four
Now you're the one, kunifanya number one
Kiasi kwamba Ngoma zote ziruke hewani
Na zikienda hewani zidondoke kitaani
Uwe mwaka wa neema sio Siwema jina gani
Usiwe mwaka wa mafuriko mafuriko
Ila ukawe mwaka wa kuvuna kuliko
Tuamshwe na kuku sio mashida kokoriko
Serikali za mitaa mauchaguzi songombingo
Tuepushe na vita, Mauaji ya Geita
Maradhi ya kutisha tuyatishe tu yakija
Na kuhusu Sinyorita Magarita Mama citta
Hata akienda kuchepuka asichepuke hadi Saa sita
Kamoyo katapwita kama tutagawanyika
Yanga akutane na Simba Sio 5 apigwe tisa
Twenty Twenty Four wacha masihara
Acha Wana wanywe beer Albert Chalamila
Twenty twenty four, zima Amapiano
Piga muziki wetu na wa kwangu ukiwemo
Twenty Twenty Four, mwana nisikilize
Poteza Saraphina mrudishe dada Jide
Jaffarai nipo bize, TID apige zeze
BOB micharazo, Wa Singida Kamikaze
Mwaka huu Bwana uwe tobo tu kwa Pamba
Wapambane pambane ila wasitumie wanja
Wacheze ligi kuu, ligi kuu tuione Mwanza
Na hivi vitimu vitimu kandamiza ka Masanja

Sio vibaya kukuona uki-behave
Goigoi kuwafanya mashupavu
Twenty Twenty Four sambaza love
Walio chini yetu nao tuwapige tafu

Twenty Twenty Four wacha masihara
Acha Wana wanywe beer

Twenty Twenty Four, zima Amapiano
Piga muziki wetu na wa kwangu ukiwemo

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Kulwa Bung'ando

Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Twenty Twenty Four Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Twenty Twenty Four Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 7 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/13906940/Kos+Goliath/Twenty+Twenty+Four>.

    Missing lyrics by Kos Goliath?

    Know any other songs by Kos Goliath? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "They say all's well that ends well, but _____________"
    A I'm in a new hell.
    B it didn't end well.
    C I can't really tell.
    D I'm in a new cell.

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Kos Goliath tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!