Ntazozoea

Theo Jeezey

0 fans

Theo Jeezey


3:17

 Struggling with Ntazozoea? Become a better singer in 30 days with these videos!

This is Theo Jeezey
From Makosire
KosireBoy Worella

Kupendwa sio ujanja
Na kupupenda sio ujinga
Ni lazima tupendane
Iyee ee
Huh
Macho yangu kama
Muwanga
Nakuwaza kila saa
Nateseka kupupenda iyee ee
Sina kosa una nionea bure
Wataka mi nife bure ee ee
Washindwa kunielewa huh

Mwenzangu bado
Una niliza
Wengine Wana ni
Lilia mi
Kama Fulani
Hizi vurugu za
Mapenzi
Shuleni juzi nime
Feli mi
Kama Fulani
Nika lia aa

Mwenzako leo
Nasema aa
Ngumu kusinzia aa
Nateseka na penzi
Lako wee
Nakufikiria aa
Yeye yeye yey yeye
Moyoni na umia
Aa aa naa naa naa
Nita vumilia aa

Nita tulia
Kuvumilia shida
Africa kwetu
Tume zoea shida
Hakuna jambo
Lisilo kuwa
Na mwisho
Nita songa mbele
Kurudi nyuma
Mwiko
Mwenzangu bado
Una niliza
Wengine Wana
Ni Lilia mi
Kama Fulani
Hizi vurugu za
Mapenzi
Shuleni juzi nime
Feli mi
Kama Fulani
Nika lia aa

Mwenzako leo
Nasema aa
Ngumu kusinzia aa
Nateseka na penzi
Lako wee
Nakufikiria aa
Yeye yeye yey yeye
Moyoni na umia
Aa aa naa naa naa
Nita vumilia aa

Mwenzako bado
Mina tamani
Unipe penzi lile lile
Lile Lile Lile
Lile Lile lile
Mwenzako bado
Mina tamani
Unipe penzi lile lile
Lile Lile Lile
Lile Lile lile

 Struggling with Ntazozoea? Become a better singer in 30 days with these videos!

Written by: Theo Mlenda

Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Ntazozoea Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Ntazozoea Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 1 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/13532239/Theo+Jeezey/Ntazozoea>.

    Missing lyrics by Theo Jeezey?

    Know any other songs by Theo Jeezey? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    What is the meaning behind the BTS band acronym?
    A Bulletproof Boy Scouts
    B Behind The Scene
    C Blood Sweat & Tears
    D Be There Soon

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Theo Jeezey tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!