Pressure

Theo Jeezey

0 fans

Theo Jeezey


3:40
#2

 Struggling with Pressure? Become a better singer in 30 days with these videos!

Najiuliza aa
Pesa Sina aaa
Nina wasi wasi juu
Ukija seepaaa
Aa aaa wewe tu
Aa aaa wewe tu
Aa aaa wewe tu

Mpenzi mimi nawe
Mbali tume toka
Usije niacha kizembe
Kwa pesa uka ondoka
Panda daladala tume zoea
Ama tiketi ya mwendokasi
Uki enda Stendi Magufuli
Na kurudi usi chelewe
Haayaa
Hivo naomba uni elewe
Haayaa

Rizika na kidogo
Tulicho jaaliwaa
Nakupambania saanaa
Ita nitesa
Uki ondoka
Ita niumiza una juwa
Vibaya
Nakueleza mi
Nina pressure
Wenye pesa nawajuwa
Ni wabaya saanaa

Naji uliza aa
Pesa Sina aaa
Nina wasi wasi juu
Ukija seepaaa
Aa aaa ni wewe tu
Aa aaa wewe tu
Aa aaa wewe tu

Macho yao wakutazama
My baby
Walivo shiba uta wapendaa
Baby
Wajipitisha na magari
Ya kifahari
Waki kuuliza umesha olewa
Kubalii
Rizika na kidogo
Tulicho jaaliwaa
Nakupambania saanaa
Ita nitesa
Uki ondoka
Ita niumiza una
Juwa vibaya
Nakueleza mi
Nina pressure
Wenye pesa nawajuwa
Ni wabaya saanaa

Najiuliza aa
Pesa Sina aaa
Nina wasi wasi juu
Ukija seepaaa
Aa aaa ni wewe tu
Aa aaa wewe tu
Aa aaa wewe tu
KosireBoy
From Makosire
Worella
Baome solo

 Struggling with Pressure? Become a better singer in 30 days with these videos!

Written by: Theo Mlenda

Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Pressure Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Pressure Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 16 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/13532238/Theo+Jeezey/Pressure>.

    Missing lyrics by Theo Jeezey?

    Know any other songs by Theo Jeezey? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    “I want it all, I want it all, I want it all and I want it now.”
    A Foreigner
    B The Cars
    C Queen
    D Aerosmith

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Theo Jeezey tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!

    Movies soundtrack

    Pressure

    »
    • Fargo Year 2
    • The Keeper of Lost Causes