Nisamehe

Fee

0 fans

Fee

A fee is the price one pays as remuneration for services. Fees usually allow for overhead, wages, costs, and markup. more »


3:17
#1

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Nitapigwa hata risasi kwa ajili yako
Nikatwe na miguu kwa ajili yako
Kwetu geti kali, nitatoroka kwa ajili yako
Nitagombana na mabestie kwa ajili yako

Kamba ulionifunga ni zile zama nazikumbuka ah
Na kama unavyojua hatukumalizia
Sanda ushanivika navuta pumzi yanivujia wewe
Na kama unavyojua hatukuhalalisha

Ni wewe sio wale kumbuka alooh
Nilikutizama hukunitizama, ukanipiga za usoni mmnh
Nilale nisimame, homa ya moyo inanitafuna habari huna na hivi siku hizi sikuoni

Nisameheeee
Nisamehee

Natanga tanga (mnh mnh)
Nayeya (mnh mnh)
Nakusumbua sumbua tu
na ujinga wangu wa "I love you"

Nisamehee
Naomba ah

Aah siwezi sema umenitenda bwana wee!
Ila nachosema nakukumbuka
Hata bila kupenda nakuachilia
Mana ninaona ninaumbuka

Ni wewe sio wale kumbuka alooh
Nilikutizama hukunitizama, ukanipiga za usoni mmnh
Nilale nisimame, homa ya moyo inanitafuna habari huna na hivi siku hizi sikuoni

Nisameheeee
Nisamehee

Natanga tanga (mnh mnh)
Nayeya (mnh mnh)
Nakusumbua sumbua tu
na ujinga wangu wa "I love you"

Nisamehee
Naomba ah

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: Florah Mafupa

Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Nisamehe Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Nisamehe Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 25 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/13284193/Fee/Nisamehe>.

    Missing lyrics by Fee?

    Know any other songs by Fee? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "Hey, teacher! _____________".
    A Leave those kids alone!
    B Don't be hard like stone!
    C Leave them kids alone!
    D Eat some more melon!

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Fee tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!