Halal

Mathooko

0 fans

Mathooko


2:19

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Niko fiti man na siwezi cap
Mi nakuanga mlit mi nakuanga mras
(Ras)Ukiona stats zinakuanga gwan
Mi hukeep it Halal
Sir God ndio mi hutrust
(Trust)Nikiwalk with him nafika far
Nikiunda song inakuanga blast
(Blast)Ka Patrick Mi nakuanga star
Niko fiti man na siwezi cap
Mi nakuanga mlit mi nakuanga mras
Ukiona stats zinakuanga gwan
Mi hukeep it Halal
Sir God ndio mi hutrust
Nikiwalk with him nafika far
Nikiunda song inakuanga blast
Ka Patrick Mi nakuanga star
Niko fiti man na siwezi cap
Mi nakuanga mlit mi nakuanga mras
(Ras)Ukiona stats zinakuanga gwan
Mi hukeep it Halal
Sir God ndio mi hutrust
(Trust)Nikiwalk with him nafika far
Nikiunda song inakuanga blast
(Blast)Ka Patrick Mi nakuanga star

Career yangu najua nitamake it
Aim yangu inakuanga deadly
Top corner huwezi cheki
Finesse nafanya ki Messi
Body yangu najua ni temple
Ndio maana sipendi mafegi
Second coming kama ni kesho
My homie I will always be ready
After that hio neno na medi
Bibilia nasomanga daily
Devo hudanganya wengi
Lakini hawezi niseti
Na armour nadungia yote
Hio huwezi pata kwa closet
Sir God ni my defender
Devo amemseti kwa pocket

Niko fiti man na siwezi cap
Mi nakuanga mlit mi nakuanga mras
(Ras)Ukiona stats zinakuanga gwan
Mi hukeep it Halal
Sir God ndio mi hutrust
(Trust)Nikiwalk with him nafika far
Nikiunda song inakuanga blast
(Blast)Ka Patrick Mi nakuanga star
Niko fiti man na siwezi cap
Mi nakuanga mlit mi nakuanga mras
Ukiona stats zinakuanga gwan
Mi hukeep it Halal
Sir God ndio mi hutrust
Nikiwalk with him nafika far
Nikiunda song inakuanga blast
Ka Patrick Mi nakuanga star
Niko fiti man na siwezi cap
Mi nakuanga mlit mi nakuanga mras
(Ras)Ukiona stats zinakuanga gwan
Mi hukeep it Halal
Sir God ndio mi hutrust
(Trust)Nikiwalk with him nafika far
Nikiunda song inakuanga blast
(Blast)Ka Patrick Mi nakuanga star

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: Steven Mutua

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Halal Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Halal Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 5 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11956266/Mathooko/Halal>.

    Missing lyrics by Mathooko?

    Know any other songs by Mathooko? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Which artist has won the most GRAMMYs in history?
    A Georg Solti
    B John Alldis
    C Alexander Faris
    D John Wilson

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Mathooko tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!