Tujivinjari

Joy Msanii, Misumena

0 fans

Joy Msanii


3:23

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Na unavyoniona nafurahia
Na unavyoniona nahisi raha
Na unavyoniona nafurahia
Na unavyoniona nahisi raha
Na si maisha yasonge
Na mbele yasonge
Kafuraha kanoge
Na zaidi kanoge

Na sasa ndio nini unataka kujishukishia furaha yako
Mastress za nini unataka kujiletea maisha yako

Na unasema haupangwingwi
Sa vituko za nini
Hasira za nini
Vituko za nini

Tujivinjari ri ri ri ri dada, weka stress kando
Tujivinjari ri ri ri ri kaka, tuzikwende tuzikwende
Tujivinjari ri ri ri ri dada, tujirushe tujirushe weh
Tujivinjari ri ri ri ri kaka, ri ri ri weeeh

Msoto hainitishingi hainitishingi
Hasira hainitishingi hainitishingi
Watu hawanitishingi hawanitishingi
Napambana niishi maisha ya kwangu
Shuguli sinaga ya watu
Shugulika na yako acha ya kwangu
Yangu yatakupa kichwa
Yataakuumisha mpaka kichwa
Yatakuumisha mpaka na mwili mzima mzima
Kuishi mara moja 
Lakini ukiishi vyemma
Moja inatosha

Na ukiweza ishi vyema
Na watu pia
Tena ukiweza
Piga sherehe

Na unasema haupangwingwi
Sa vituko za nini
Hasira za nini
Vituko za nini

Tujivinjari ri ri ri ri dada, weka stress kando
Tujivinjari ri ri ri ri kaka, tuzikwende tuzikwende
Tujivinjari ri ri ri ri dada, tujirushe tujirushe weh
Tujivinjari ri ri ri ri kaka, ri ri ri weeeh

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Written by: Ingo Möll, Maximilian David Becker

Lyrics © Music Hub O/B/O GEMA

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Tujivinjari Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Tujivinjari Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 3 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11649529/Joy+Msanii/Tujivinjari>.

    Missing lyrics by Joy Msanii?

    Know any other songs by Joy Msanii? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Robert Allen Zimmerman is better known as?
    A Bob Geldof
    B Bob Seger
    C Bob Dylan
    D Rob Zombie

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Joy Msanii tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!